Binafsi nimeona wanaume wenzangu wengi ambao wameweka bia mbele na kusahau school fees ya watoto. Nimeona wengi pia walioyatoa maisha yao katika starehe na mwishowe kustaafu katika umaskini.
Lakini sijaona wanawake ambao wamesahau kabisa school fees ya watoto na kupeleka salary yote TBL.
Vipi hawa wamama wanajielewa sana kuliko sisi?
Lakini sijaona wanawake ambao wamesahau kabisa school fees ya watoto na kupeleka salary yote TBL.
Vipi hawa wamama wanajielewa sana kuliko sisi?