exactly nadhani wenyeji wa Kishumundu watakuwa wanaitambua hii vizuri sana.
Huwa binafsi sionagi maana ya hii sanamu sijui walifikiria nini, mimi ningesuggest wangeweka mgomba wa ndizi au mkungu wa ndizi kuashiria alama fulani katika mkoa kama walivyofanya mwanza kuweka sanamu ya samaki
kiwatengu hapo ni keep left ya Moshi pale YMCA kama sijakosea mkuu
Heri ya mwaka mpya mkuu