Nani anaifahamu vema gari hii DISCOVERY 4. Naomba mnipe details

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
5,707
11,956
Habari zenu wajumbe wa balaza hili tukufu la wapenda magari.

Mimi raia mwenzenu mnyenyekevu na Mzalendo nipo hapa mbele yenu kupata maoni, ufafanuzi, ujuzi, taarifa na maelezo ya kina juu ya gari hii aina ya Discovery 4.

Najua haya magari yanakuja na options tofauti kwa maana ya kuwa manual transmission na automatic transmission. Pia engine za ukubwa tofauti na fuel tofauti kwa maana ya diesel au petroleum.

Lakini pia najua yanakuja kwa kutokea location tofauti kwa maana ya kutokea Ulaya yaani UK na kuna yanayotokea hapa bondeni kwa madiba yaani South Africa.

Hebu nifahamisheni zaidi enyi watukufu watalaamu na wapenda magari wenzangu. Napenda nifahamu zaidi kuhusu hii gari.

Naomba wazee wa suggestions msianze kujadili Discovery 3 maana ile siipendi ndio maana nimekuwa specific kuwa nataka Discovery 4 so please naomba wazee wa suggestions msianze kunichanganyia madawa taarifa za model tofauti na hii ya discovery 4.

Karibuni sana nawasubiria.

1683097930153.jpg
1683097917797.jpg
1683097907457.jpg
1683097958314.jpg
 
Habari zenu wajumbe wa balaza hili tukufu la wapenda magari.

Mimi raia mwenzenu mnyenyekevu na Mzalendo nipo hapa mbele yenu kupata maoni, ufafanuzi, ujuzi, taarifa na maelezo ya kina juu ya gari hii aina ya Discovery 4.

Najua haya magari yanakuja na options tofauti kwa maana ya kuwa manual transmission na automatic transmission. Pia engine za ukubwa tofauti na fuel tofauti kwa maana ya diesel au petroleum. Lakini pia najua yanakuja kwa kutokea location tofauti kwa maana ya kutokea Ulaya yaani UK na kuna yanayotokea hapa bondeni kwa madiba yaani South Africa.

Hebu nifahamisheni zaidi enyi watukufu watalaamu na wapenda magari wenzangu. Napenda nifahamu zaidi kuhusu hii gari.

Naomba wazee wa suggestions msianze kujadili Discovery 3 maana ile siipendi ndio maana nimekuwa specific kuwa nataka Discovery 4 so please naomba wazee wa suggestions msianze kunichanganyia madawa taarifa za model tofauti na hii ya discovery 4.

Karibuni sana nawasubiria. View attachment 2608252View attachment 2608254View attachment 2608255View attachment 2608253

Gari zuri kwa maana ya comfortability na drive feel, ni practical pia na ina utumiaji mzuri wa mafuta kwa large and heavy SUV kama ile.
Kitu ambacho si kizuri hapo ni maintenance costs, hasa discovery 4 kuliko hata 3. Ziko juu na asitokee mtu kukudanganya ni kawaida.
 
Habari zenu wajumbe wa balaza hili tukufu la wapenda magari.

Mimi raia mwenzenu mnyenyekevu na Mzalendo nipo hapa mbele yenu kupata maoni, ufafanuzi, ujuzi, taarifa na maelezo ya kina juu ya gari hii aina ya Discovery 4.

Najua haya magari yanakuja na options tofauti kwa maana ya kuwa manual transmission na automatic transmission. Pia engine za ukubwa tofauti na fuel tofauti kwa maana ya diesel au petroleum. Lakini pia najua yanakuja kwa kutokea location tofauti kwa maana ya kutokea Ulaya yaani UK na kuna yanayotokea hapa bondeni kwa madiba yaani South Africa.

Hebu nifahamisheni zaidi enyi watukufu watalaamu na wapenda magari wenzangu. Napenda nifahamu zaidi kuhusu hii gari.

Naomba wazee wa suggestions msianze kujadili Discovery 3 maana ile siipendi ndio maana nimekuwa specific kuwa nataka Discovery 4 so please naomba wazee wa suggestions msianze kunichanganyia madawa taarifa za model tofauti na hii ya discovery 4.

Karibuni sana nawasubiria. View attachment 2608252View attachment 2608254View attachment 2608255View attachment 2608253
Ni gari nzuri ila bila kujali ni ya Petrol au Diesel, usinunue used iliyotembea zaidi ya Km 50,000.
 
Inakimbia V8 cha mtoto haiyumbi ovyo barabarani ni mwendo wa mneso kwa mbaali.
 
Back
Top Bottom