Nani anaifahamu hii namba?

Nani anaifahamu hii namba?

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa.

namba +2550222161267
 
Chukua tellphone drectory uicheck ttcl land line 022 ni code ya dar 15 ni simu za maeneo ya upanga ,18 kariakoo 16 sikumbuki.
 
habarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa.

namba +2550222161267

Hiyo ni number ya Staff wa NMB.

NATIONAL MICROFINANCE BANK
HEAD OFFICE - NMB HOUSE
AZIKIWE/JAMHURI STREET
P.O. BOX 9213, DAR ES SALAAM, TANZANIA
TELEPHONE: +255(0)22 2161000
 
habarini wapendwa.. napenda kuuliza mwenye kuifahamu namba tajwa hapo juu. nilikuta missed call nkajaribu kuipiga nkaambiwa hyo no haipo nimeshindwa kuelewa ni mtandao mbovu au laa.

namba +2550222161267

Delete 0 baada ya 255 upige ni landline
 
Hii namba ni ya Landline, ambayo ipo mkoa wa ARUSHA.
kAMA huyo aliekupigia anakuhitaji atakupigia tena,cha muhimu kuwa na simu yako muda wote
 
Hii namba ni ya Landline, ambayo ipo mkoa wa ARUSHA.
kAMA huyo aliekupigia anakuhitaji atakupigia tena,cha muhimu kuwa na simu yako muda wote

Hapana mkuu. Arusha inaanza na 027 hii ni Dar es Salaam

Nimejaribu kucheki kwenye Kitabu cha Yellow Pages ila dah categories nyingi sana, nashindwa anzia wapi.
 
wewe simu ya land line ukipiga ikisema haipo ujue inatumika na iko busy so rudia kuipiga tena,hiyo ni interview lazima AU NI KIPINDI CHA NIMEKUBAMBA CHA ZE KOMEDY SHOW CLOUDS TV AU?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom