Nani anahusika katika sakata la meli ya samaki wa magufuli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anahusika katika sakata la meli ya samaki wa magufuli?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Paul Kijoka, Feb 14, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wapendwa wanaJF, poleni na shughuli na Valentine. Naomba mnijuze mhusika wa meli iliyokamatwa ikiwa na shehena ya samaki wetu waliokuwa wanaibwa kila mwaka tangu tupate uhuru.

  Je, nani anahusika?
  Kesi imefikia wapi?
  Ubalozi wa waliokutwa melini umetoa tamko gani?

  Naomba kusaidiwa ndg. zangu.
   
 2. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimependa sana hii PICHA ya meli.
  Mkuu umekosea jukwaa.
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kesi bado ipo makamani

  Wanahusika Attorney General's Chambers, Wizara ua Mambo ya Ndani na Wizara ya Mambo ya Nje
   
Loading...