Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Mwanamke huyu ni mrembo balaa, basi bush life imempoteza *****.
Kuoga huko ni shida kwani upatikanaji wa maji ni mdogo hivyo huamua kujipaka huo udongo amabao huchanganywa na manukato fulani kufanya wanukie vyema pia kulinda ngozi zaoNdio, niliona documentary kuhusu hawa Himba. Bado wanaishi maisha Yao wenyewe kwenye jungle. Kitu kilichonishangaza kuhusu hawa watu ni kwamba wanawake wao hawa hawaogi maji.
Tens kisu change makali pandemic zote mbili!!!!Huyo mama kisu!!!