Nani anafahamu jinsi ya hack na kutrack mobile number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anafahamu jinsi ya hack na kutrack mobile number

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by C Programming, Jan 31, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Kama kuna mtu anafahamu jinsi ya hack....na kutrack mobile number anijulishe
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mtambo wake full na software ni $2 mill. Una hack,unasikiliza na kerecord in/out going calls na sms. Au ipo ambayo unaistall ndani ya simu unayotaka kuhack bila mwenye nayo kujua,then unatumiwa email yenye atachments za sms na Incoming/outgoing call.myenye simu awezi jua nini kinaendelea
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  kaka naomba namba yako ya simu
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hiyo ya kuinstall inamaanisha lazima ushike simu ya huyo mtu kwanza na ndio uendelee kupata info hizo?

  ni ipi nitafurahi kuipata
   
 5. sakasaka

  sakasaka Senior Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
   
 6. Dahafrazeril

  Dahafrazeril JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2017
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 1,351
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Habari Mkuu?

  Ulifahamu kutrack mobile number?
   
 7. hamidu luambano

  hamidu luambano JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2017
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 446
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Unahitaji kufanya hivyo mkuu?
   
 8. Dahafrazeril

  Dahafrazeril JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2017
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 1,351
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Ndiyo mkuu,Jana nilipitiwa na usingizi aise.Nisaidie.
   
 9. hamidu luambano

  hamidu luambano JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2017
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 446
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Njoo pm tuongee mkuu
   
 10. HAJI KUMBIKO

  HAJI KUMBIKO Member

  #10
  Jan 31, 2017
  Joined: Dec 7, 2016
  Messages: 59
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 25
  Zipo njia nyingi zaku hack sim. ipo muja una instor hiyo program kwahiyo simu ya muusika then unaweka namba yako na eimail yako kila sms itakufikia bila muhusika kujuwa.
   
 11. hamidu luambano

  hamidu luambano JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2017
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 446
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Ila tusisahau muhusika akijua kuwa kahakiwa anaweza kukufunga kama akienda kwenye sheria
   
 12. HAJI KUMBIKO

  HAJI KUMBIKO Member

  #12
  Jan 31, 2017
  Joined: Dec 7, 2016
  Messages: 59
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 25
  It as depend kama nimtu wako wakaribu siombaya ila kama unamashaka nae hakuna haja ya kuulizana simu itaongea.
   
 13. hamidu luambano

  hamidu luambano JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2017
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 446
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Pia unapaswa uwe na kifua hasa maana unaweza kuta siri za ajabuajabu
   
 14. Mpalestina Mchizi

  Mpalestina Mchizi JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 971
  Likes Received: 759
  Trophy Points: 180
  jaman nipen maelekezo na mimi kuna demu wangu nataka kumu hack maana cku hizi kabadilika sio kama yule wa zaman
   
 15. Yahya Asaa

  Yahya Asaa JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2017
  Joined: Sep 22, 2013
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hahahahahah
   
 16. Tanki

  Tanki JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2017
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 407
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mkuu, kuna member aliniuzia hiyo program. yupo humu jf. Tafuta thread yake.
   
 17. Tanki

  Tanki JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2017
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 407
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  kweli aisee. kama una presha roho inaweza kutengana na mwili.
   
 18. Mpalestina Mchizi

  Mpalestina Mchizi JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 971
  Likes Received: 759
  Trophy Points: 180
  duh nipe link au jina analotumia humu
   
Loading...