Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya nafasi kuwa wazi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,126
Katika Nchi yoyote ya Waungwana uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, leo huyu kesho yule ndio ustaarabu unaofahamika, sasa baada ya kengere ya hatari kulia masikioni mwa watanzania imebidi niulize kwenu wadau ili labda niweze kupata picha.

Lengo kuu la swali langu ni kutaka kujua tu maoni yenu ili nami nipate ufahamu utakaonipa faida ya kujua, sina lengo la kupandisha presha ya yoyote wala sina lengo la kuamsha kisukari cha yeyote.

Natanguliza shukrani
 
Katika Nchi yoyote ya Waungwana uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , ndio ustaarabu unaofahamika , sasa baada ya kengere ya hatari kulia masikioni mwa watanzania imebidi niulize kwenu wadau ili labda niweze kupata picha.

Lengo kuu la swali langu ni kutaka kujua tu maoni yenu ili nami nipate ufahamu utakaonipa faida ya kujua , sina lengo la kupandisha presha ya yoyote wala sina lengo la kuamsha kisukari cha yeyote.

Natanguliza shukrani
Cyprian Musiba
 
Mwenye sifa ya kuwa Spika kutoka CCM ni Mtemi Chenge tu, wengine wote takataka...kutoka upinzani kila mtu aweza!
 
Katika Nchi yoyote ya Waungwana uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , ndio ustaarabu unaofahamika , sasa baada ya kengere ya hatari kulia masikioni mwa watanzania imebidi niulize kwenu wadau ili labda niweze kupata picha.

Lengo kuu la swali langu ni kutaka kujua tu maoni yenu ili nami nipate ufahamu utakaonipa faida ya kujua , sina lengo la kupandisha presha ya yoyote wala sina lengo la kuamsha kisukari cha yeyote.

Natanguliza shukrani
Sugu!
 
Halima Mdee au Joseph Mbilinyi aka Sugu
 
Back
Top Bottom