Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,179
- 18,850
KabisaMada zingine bana😁.. Anyway,Kwa polepole itapendeza zaidi
KabisaMada zingine bana😁.. Anyway,Kwa polepole itapendeza zaidi
Wewe sasa hivi nipo dar. Mtwara narudi j5Nyamwi,
Habari ya mtwara.
Mkuu,Wewe sasa hivi nipo dar. Mtwara narudi j5
Unaenda kushangilia taifa 🌟 au kubambia?Mkuu,
Sogelea basi taifa Benjamin Mkapa basi. Leo tunakiwasga hapa na tukishinda tunabibe hadi asubuhi.
Nataka nibambie hiko kiuno nyingi/dondora.
Kabla ya game na Baada ya game Kuna party.Unaenda kushangilia taifa 🌟 au kubambia?
Tulipotoka ni mbali