Nani anafaa kuwa Kaka wa Taifa?

Ngunichile

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
356
519
Habari wakuu zangu.

Naomba niwe wa kwanza kuwatakieni wote heri ya Sikukuu ya Christmas na Heri ya mwaka mpaya 2022. Mungu wetu aendelee kuwalindeni nyote tuvuke Salama.

Ni hivi, nikiamshwa usingizini nikaulizwa ni nani Baba wa Taifa bila kusita nitasema ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nikiulizwa mama, nitasema ni mama yetu na Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan. Shangazi wa Taifa anajulikana ni Wakili msomi Fatma Karume. Na dada wa Taifa ni Mange Kimambi. Na hivi karibuni tumempata uncle wa taifa bwana Fred Vunjabei. Sasa ni nani tumpe ukaka wa Taifa?

Angalizo: Naomba tuwe makini sana tunapompendekeza na kumchagua KAKA WA TAIFA maana tayari dada wa taifa amechukua tabia nyingi za shangazi yatu kwa hiyo hili kuwapa hauweni wazazi ni bora kaka wa taifa akawa a bit decent.

Hata hivyo binafsi sina shida na uncle Fred maana yeye ni Simba Mwenda pole.

Je, ni nani anafaa kuwa kaka wa taifa?
 
Mwamba atatufaa sana.
Y9.jpg
 
Kaka wa taifa ni Mhe raisi wa mstaafu Mrisho Jakaya Kikwetu mungu amjalie maisha marefu ni mcheshi halafu vipaji vya kipekee kuvumilia ujinga ujinga hata akiandikwa kwenye mitandao unakuta anacheka huwa haonyeshi chuki yake wazi wazi kama nanilino
 
Back
Top Bottom