Nani anafaa kushika dodoki kumsafisha Lowassa ndani ya CHADEMA na wananchi wakamwelewa?

CHADEMA kwa miaka 20 waliwaambia wananchi majukwaani na bungeni kuwa Lowasa fisadi sasa hivi wanasema si fisadi

CHADEMA wanatakiwa wawe na ujasiri wa kusimama hadharani kwenye mikutano ya hadhara na kuwaomba msamaha watanzania kuwa waliwakosea watanzania kwa kuwambia uongo kuwa Lowasa fisadi wakati si fisadi na kwa kujipatia vyeo kama ubunge kwa njia za udanganyifu wa kujipatia vyeo na fursa kwa hoja ya ufisadi hewa walioutunga.Pia wawaombe msamaha wafadhili ambao walisitisha mabilioni ya misaada wakiamini kuna mafisadi akina lowasa misaada ambayo kukosekana kwake ilisababisha wengi kufa kwa kukosa dawa n.k

CHADEMA bila kuwaomba msamaha watanzania laana ya watanzania itawala

Heri kuwa na fisadi moja aliyezungukwa na wasafi 1000, kuliko kuwa na msafi moja aliyezungukwa na mafisadi 1000
 
Back
Top Bottom