Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,806
Lema atafaa sana
ulipotea.heri ya krismas.naona leo lumumba bk 7fc mnasomeka hasa sred kama hizi mnazopost wenyewe
Lema atafaa sana
Toa maoni yako:
1.zitto kabwe
2.tindu lissu
3.freeman mbowe
4.sugu
5.halİma mdee
6.dr salaa
7.lema
toa maoni ukitaja kwa asilimia ngap?
Lema atafaa sana
1:Adui namba moja wa CCM na mfumo wake
2:Atakayesimamia na kuongoza mabadiliko ya kweli bila kutiliwa shaka kimsimamo
3:Atakayesimamia kanuni na maadili ya chama
4:Asiyekua na makundi na anayechukia usaliti
5:Mwenye uwezo wa kutuvusha katika kipindi hiki cha mpito na kuchukua Dola bila msaada wa watawala kwa mipango ya kando