Nani anafaa kupewa uwenyekiti chadema na kuleta mafanikio katik a uchaguzi 2015.

Toa maoni yako:
1.zitto kabwe
2.tindu lissu
3.freeman mbowe
4.sugu
5.halİma mdee
6.dr salaa
7.lema
toa maoni ukitaja kwa asilimia ngap?

Wewe si ndiyo yule ambaye uliweka uzi hapa wa braking news watu wakakudharau haha ni wewe ni mtu wa ovyo kabisa.
 
1:Adui namba moja wa CCM na mfumo wake

2:Atakayesimamia na kuongoza mabadiliko ya kweli bila kutiliwa shaka kimsimamo

3:Atakayesimamia kanuni na maadili ya chama

4:Asiyekua na makundi na anayechukia usaliti

5:Mwenye uwezo wa kutuvusha katika kipindi hiki cha mpito na kuchukua Dola bila msaada wa watawala kwa mipango ya kando

Safi ila kuna watu wamejiunga hapa kiukweli kwa level yetu hatutakiwi hata kuchangia mada zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom