baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 430
- 310
Toa maoni yako:
1.zitto kabwe
2.tindu lissu
3.freeman mbowe
4.sugu
5.halİma mdee
6.dr salaa
7.lema
toa maoni ukitaja kwa asilimia ngap?
your so clever guy....huyu ndiye kijana alisoma akaelimika1:Adui namba moja wa CCM na mfumo wake
2:Atakayesimamia na kuongoza mabadiliko ya kweli bila kutiliwa shaka kimsimamo
3:Atakayesimamia kanuni na maadili ya chama
4:Asiyekua na makundi na anayechukia usaliti
5:Mwenye uwezo wa kutuvusha katika kipindi hiki cha mpito na kuchukua Dola bila msaada wa watawala kwa mipango ya kando
apewe beni saa 8,ili awauwe wasaliti kwa sumu
apewe zitto kabwe
apewe zitto kabwe
Apewe mtu asiyena doa la usaliti,mwenye uwezo wa kupambana na maccm,asiyenunulika na asiye na tamaa za pesa au uongozi! WanaCDM tumpime na kumwamini kuwa hana njaa asije uza chama chetu cha ukombozi!
Lema atafaa sana
Apewe Sugu
apewe beni saa 8,ili awauwe wasaliti kwa sumu
apewe zitto kabwe