Nani anafaa kupewa uwenyekiti chadema na kuleta mafanikio katik a uchaguzi 2015.

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Toa maoni yako:
1.zitto kabwe
2.tindu lissu
3.freeman mbowe
4.sugu
5.halİma mdee
6.dr salaa
7.lema
toa maoni ukitaja kwa asilimia ngap?
 
Wewe mtu wa CCM unahangaika na mambo ya Chadema mpaka unatia kinyaa!
 
Toa maoni yako:
1.zitto kabwe
2.tindu lissu
3.freeman mbowe
4.sugu
5.halİma mdee
6.dr salaa
7.lema
toa maoni ukitaja kwa asilimia ngap?

1:Adui namba moja wa CCM na mfumo wake

2:Atakayesimamia na kuongoza mabadiliko ya kweli bila kutiliwa shaka kimsimamo

3:Atakayesimamia kanuni na maadili ya chama

4:Asiyekua na makundi na anayechukia usaliti

5:Mwenye uwezo wa kutuvusha katika kipindi hiki cha mpito na kuchukua Dola bila msaada wa watawala kwa mipango ya kando
 
your so clever guy....huyu ndiye kijana alisoma akaelimika
 
Apewe mtu asiyena doa la usaliti,mwenye uwezo wa kupambana na maccm,asiyenunulika na asiye na tamaa za pesa au uongozi! WanaCDM tumpime na kumwamini kuwa hana njaa asije uza chama chetu cha ukombozi!
 
Apewe mtu asiyena doa la usaliti,mwenye uwezo wa kupambana na maccm,asiyenunulika na asiye na tamaa za pesa au uongozi! WanaCDM tumpime na kumwamini kuwa hana njaa asije uza chama chetu cha ukombozi!

Mbowe badonanatosha saanaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom