Tumshawishi Zitto kwasababu anafahamika anaweza kuvuta wanachama wengi kujiunga na ACT
Kwakuwa kila chama sasa kinajipanga kusimamisha wagombea wa urais katika safu mbali mbali. Ndani ya ACT yupo Mwigamba, Kitila, Ludovick, Zitto, Yona, na wengine wengi. Unadhani ni nani atafaa kupeperusha mbendela ya chama hiki kipya ifikapo 2015?. Toa maoni yako

Limbu si ndiyo m/kt wake? Basi agombee urais kupitia hicho chama.
Msumbuzi!Kwakuwa kila chama sasa kinajipanga kusimamisha wagombea wa urais katika safu mbali mbali. Ndani ya ACT yupo Mwigamba, Kitila, Ludovick, Zitto, Yona, na wengine wengi. Unadhani ni nani atafaa kupeperusha mbendela ya chama hiki kipya ifikapo 2015?. Toa maoni yako
Act ni chama cha mwandiga kigoma.
Agombee tu, huyo huyo msaliti zzk,maana Waha wengi ni wabaguzi sana,km sio muha hawakuchagui,teh