Nani anaefaa kugombea Urais 2015 kwa tiketi ya ACT?.

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
355
Reaction score
178
Kwakuwa kila chama sasa kinajipanga kusimamisha wagombea wa urais katika safu mbali mbali. Ndani ya ACT yupo Mwigamba, Kitila, Ludovick, Zitto, Yona, na wengine wengi. Unadhani ni nani atafaa kupeperusha mbendela ya chama hiki kipya ifikapo 2015?. Toa maoni yako
 
bettlehem,teh,teh mwaka mmoja vyama vi3.huu ni uchumia tumbo wa kiwango gani wakuu?
 
Mkuu mpaka sasa hawana wanachama hao walipewa usajili kinyamele ili kukidhoofisha chadema, ila nikuhakikishie hawana wanachama kbs, si wanachama tu hata bendere ukihesabu tanzania nzima hazifiki 10
 
Limbu si ndiyo m/kt wake? Basi agombee urais kupitia hicho chama.
 
Mkuu mpaka sasa hawana wanachama hao walipewa usajili kinyamele ili kukidhoofisha chadema, ila nikuhakikishie hawana wanachama kbs, si wanachama tu hata bendere ukihesabu tanzania nzima hazifiki 10
Si kweli, wana wanachama wengi na kila siku wanaongezeka
 
Ludovic anafaa sana kwa ACT mgombea mwenza Fyonza (Shonza)

Kwakuwa kila chama sasa kinajipanga kusimamisha wagombea wa urais katika safu mbali mbali. Ndani ya ACT yupo Mwigamba, Kitila, Ludovick, Zitto, Yona, na wengine wengi. Unadhani ni nani atafaa kupeperusha mbendela ya chama hiki kipya ifikapo 2015?. Toa maoni yako
 
Uraisi upi?wa kigoma sawa hata zitto anaweza
 
Tumshawishi Zitto kwasababu anafahamika anaweza kuvuta wanachama wengi kujiunga na ACT
 
Act ni chama cha mwandiga kigoma.
Agombee tu, huyo huyo msaliti zzk,maana Waha wengi ni wabaguzi sana,km sio muha hawakuchagui,teh
 
Back
Top Bottom