F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jan 21, 2014 #2 So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitake😛😛😛
So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitake😛😛😛
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 21, 2014 #3 Na mwanaume atakua nani?
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 21, 2014 #4 Deshmo said: Na mwanaume atakua nani? Click to expand... Msingi. Kwani nguzo bila msingi itasimamaje?
Deshmo said: Na mwanaume atakua nani? Click to expand... Msingi. Kwani nguzo bila msingi itasimamaje?
gateway JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 467 Reaction score 123 Jan 21, 2014 #5 farkhina said: So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitake😛😛😛 Click to expand... bora ingeandikwa mwanamke ni nguzo ya kufarakanisha
farkhina said: So wewe unataka iandikwe mwanamme ni nguzo ya familia? Hukubaliani hapo? Huo ndio ukeli ukitaka usitake😛😛😛 Click to expand... bora ingeandikwa mwanamke ni nguzo ya kufarakanisha