Nani anabisha kuwa kitu ...nitamu

never Se me

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
702
1,006
Ujawai Kula kande ww ...kama umewai basi kande nitamu kuliko kipochi
FB_IMG_1532758975756.jpg
 
Ivi Mungu si muumba wa kila kitu? Kama ni muumba wa kila kitu basi hata KANDE kaumba yeye au unasemaje?
Ni hatari kumpa uumbaji wa kila kitu!..
Ifike mahali vingine tuite utashi wetu sio uumbaji wake!.
wenye akili ya kuku tutauliza hadi matumizi ya mtandao wa Tigo ukose jibu sahihi!..
 
Back
Top Bottom