Nani Ana Hukumu Za Mashauri Haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Ana Hukumu Za Mashauri Haya?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by SEBM, Aug 24, 2012.

 1. S

  SEBM JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wakuu,
  Naomba kama kuna mwenye nakala ya hukumu za mashauri yafuatayo;
  1. Shauri la Uchaguzi Igunga
  2. Shauri la Uchaguzi Sumbawanga Mjini
  3. Shauri baina ya Serikali na Walimu (hili la mgomo wa juzi)
  4. Shauri baina ya Serikali na TUCTA (Mgomo wa 2008 nadhani)
  5. Shauri baina ya serikali na Madaktari (mgomo)

  Asanteni
   
 2. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukienda mahakani utapewa. Lakini utalipia kidogo
   
Loading...