Nani amewahi kutumia hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani amewahi kutumia hizi

Discussion in 'JF Doctor' started by Nicko, Sep 16, 2009.

 1. N

  Nicko Member

  #1
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani nani amewahi kutumia dawa inayoitwa ngetwa3 au ngoka11? Je ni kweli zinatibu vizuri kama ninavyosikia au uzushi tu.Je zina madhara yoyote?
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nakushauri nenda hospital kama unaumwa na watakupatia tiba stahiki.
  Hizi mavitu kama wakikwambia katumie ok lakini pata ushauri wa madaktari. I trust professions.
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu aliwahi kutumia dawa hizo za miti shamba akajikuta m*** yake imesimama non-stop hadi ikabidi apelekwa hospital. Sio kama tunaziundergrade dawa za asili,tatizo ni kwamba hata vile vipimo havina uwiano na havieleweki. Ni kama waragi tu inavyopoteza maisha ya watu huko kwa jirani zetu(Ug.).
   
 4. N

  Nicko Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tatizo ni kwamba nimeshatembea kwenye hospitla nyingi na nimeshindwa kupona..sasa nikaona nijaribu mitishamba.anyway thanks
   
 5. N

  Nicko Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  thanks kwa ushauri kaka..ila tatizo ni kwamba nimekunywa sana dawa za hospital lakini bado hali yangu si nzuri.
   
 6. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Omba kwa imani huku ukitumia dawa kwa MUNGU yooooote yanawezekana.
  Kwani unasumbuliwa na ugonjwa gani?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,046
  Likes Received: 24,047
  Trophy Points: 280
  Inategemea na ugonjwa wako mkuu. Hospitali ndio kuna wataalam. Kama una ngoma, hamna tiba. Omba Mungu atakusaidia
   
 8. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Kwa vile hujabainisha nini kinachokusibu inakuwa taabu kidogo lakini kama unatatizo ambalo ninalolifikiria [linakuta watu wengi sana lakini hawana ujasiri wa kusema] jaribu supu ya pweza. Wazee wetu wa pwani wamekuwa wakitumia supu hii na hadi sasa sehemu za Z'bar,Pemba,Kilwa,Mafia, mikindani bado inatumika sana tu.
  Jaribu ndugu yangu imesaidia wengi sana.
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sijui unaumwa nini ndugu yangu ,ila cha kwanza Muombe na mwamini Mungu katika huo ugonjwa wako na pili unaweza kwenda kwa hawa wataalamu wa tiba mbadala akina Dokta Ndodi.Anaweza kukusaidia kwa kuwa anajiamini sana na dawa zake.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Pole sana Nicko,be positive na Mungu atakusaidia afya yako irejee,kwa mitishamba be careful mingine isije ikakuongezea matatizo.
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Una ugonjwa gani usiotibika? Mana kuanzia hapo ndo unaweza kushauriwa..
  btw, hizo dawa sijawahi tumia..
   
 12. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Swali lako liko kisengelenyuma! Ungesema ugonjwa unaokusumbua ingekuwa rahisi watu kukushauri vizuri. Lakini sasa wewe unaanza na matumizi ya dawa bila kusema ugonjwa? Hii kali. Sasa watu waseme ngetwa inasaidia katika nini?? Ngumu kujibu.
   
 13. N

  Nicko Member

  #13
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nasumbuliwa na maumivu ya miguu..kuna wakati misuli ya miguu inauma sana hasa mapajani.Nimetembelea hospital nimeshindwa kupona kabisa.Sasa nikaona nijaribu na mitishamba kidogo nione matokeo.
   
 14. N

  Nicko Member

  #14
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nasumbuliwa na maumivu ya miguu..kuna wakati misuli ya miguu inauma sana hasa mapajani.Nimetembelea hospital nimeshindwa kupona kabisa.Sasa nikaona nijaribu na mitishamba kidogo nione matokeo..
   
 15. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #15
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  umewahi kwenda sino-tanzania, ni hospitali ya wachina iko sinza opposite na JJ bar, wana daktari pale mtaalam wa magongwa ya misuli. dawa zao naamini ni nzuri. nina ndugu yangu alienda kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa tofauti na wa kwako ambao dawa za hospitali za kawaida ulishindikana, na alipona katika muda mfupi. all the best
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa mchina wa tabata aroma.
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa huyu Mchina dawa zake ni kama chakula hivi ukinywa unakuwa umepona wakati wa matumizi ya dawa zenyewe lakini pindi unapomaliza hizo dawa baada ya kama wiki mbili hivi maumivu yanarudi upya kama vile hukuwahi kutibu huo ugonjwa kabisa.
  Lakini pia gharama zake ni kubwa sana pale kwa wabangizaji kama sisi ni vigumu ku-maintain kwenda pale kutibiwa kila mara.

  NB:
  Hii haina maana kuwa nakukatisha tamaa kwenda uko hapana ila mimi pia nilishawahi kwenda kutibiwa hapo somedays ago.
   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vipi gharama zake ili kama mtoa mada ni MBANGAIZAJI kama mimi aweze kabisa kuandaa pesa ya kutosha kwenda hasije akaenda halafu akarudi hata hajamuona daktari.

  Tuwekane wazi kabisa kuwa gharama za Wachina ziko juu kwa watu wa kawaida kuweza kuzi-handle
   
  Last edited: Sep 19, 2009
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hizi ni dawa za wachawi wa kisabato, wayehova witness na waganga wa kienyeji wa kiislam, yaani mashehe wafuga majini. ukitumia tu, zina connection na kuzimu na shetani mwenyewe, hata kama zitakutuliza kidogo, mashetani yanakuwa yamekuweka kwenye record yao, wakati wowote yanaweza yakakutengua na kukutumikisha kama upendavyo. nawajua watu wengi walitumia hizo, hasa ile DFP ya meno, badala yake alienda kung'oa meno matatu mwaka huo huo.

  angalia yule jamaa wa DFP, ni yule mwenye kipindi start tv cha "mahakama ya mungu" akitangaza dhehebu lake la kijehova pale, utashangaa. mtu hajaenda hata shule ya udaktari, anakwambia amegundua dawa. na anashuhudia kuwa ameonyeshwa na jehova wa ki kwake, na kwamba, ati alipokuwa mdogo wazazi wake walishawahi kumpeleka hadi wodi ya vichaa ya muhimbili, kwasababu waliona ana mauzauza. huyohuyo ametengeneza dawa ya DFP, watu wananunua na hawaponi wala nini. anakula hela tu.

  kuweni makini na dawa hizi za wasabato, kama kina Dr.ndodi, wale wa ngetwa eleven, DFP, na wengine wengi wa alternative medicine. ni wachawi na maajenti wa shetani kabisa.
   
 20. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  uliwahi kusikia wapi, daktari anakupa dawa ya unga anakwambia ukachemshe na usukutue mdomoni,vilevile kama enzi zetu za mitishamba kule kijijini. hakuna tofauti, ila wao wameweka tu kwenye chupa...uchawi uleule.
   
Loading...