Nani amewahi kula hii kitu?

Hatariii hiyo kitu, ipatr mpikaji mzuuurii
 
Aliye wahi kula aniambie naweza kupata wapi View attachment 737532

Wanyamwezi tuna mboga yetu inaitwa nsansa na nyingine nswalu hizi nyingine huwa zinachanganywa na uyoga aiseeh zikipikwa huwa ni tamuu hasa ikiungwa na karanga weeh ugali wa dona uliochanganywa na Muhogo iiggh acha tuu tuambiwe tunabeba mizigo mizigo maana tunakula vinono.

Mwaah wanyamwezi wenzangu aka wakadama.
 
mie shidaa yangu nipate binti wa kuoa huko kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…