Nani amewahi kufungua jicho la tatu, ni faida gani umeipata?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu hii kitu inaitwa kufungua jicho la tatu,
nimeshindwa kabisa kuielewa hivyo naomba kujua kutoka kwa wadau mliowahi
kufanya hicho kitu ilikuwaje? kuna tofauti gani baada ya kufungua na kabla ya
kufungua jicho hilo?

Kwako mshana jr na wataalamu wengine, Kuna mtu ananiambia Bangi inasaidia
kufungua jicho la tatu kwa haraka zaidi, Kuna ukweli gani, maana nami nataka kufanya.
 
Kufungua jicho la tatu maana yake ni kuwa "woke" spiritually

Ukiwa "woke" mwenyewe utagundua tu.

Utaanza kuwa awere na vitu vinavyokuzunguka. People, animals, nature everything.

Utapenda na kujali watu/wanyama kwa uzuri wao wa asili.

Hautokuwa judgemental.

Pia mtindo wa maisha utabadilika. Food you eat, people you interact with, places you go etc.

Kifupi utanza kuona maisha katika namna mpya nzuri.

Binafsi toka nimekuwa woke spiritually ni mwaka wa tatu sasa.

Faida niliyopata ni kuwa na msawazo kwenye maisha yangu. Kifupi I'm living the best life. I'm at piece with myself and others.

Labda kingine nimekuwa very intuitive. I can feel the truth in your heart. You don't need to tell me who you are. Your energy tells everything.

Pia naweza kusikia kile unachowaza.

Hii mwanzoni nilikuwa nashangaa mwenyewe how possible....lakini sasa nimejua I can hear the voices in peoples thoughts.

Kuhusu marijuana.

Herbs haikufanyi uwe "woke"

Herbs inasaidia watu walikuwa "woke" tayari kuwa eleveted in a new heights of truth and understanding.

Hata ukivuta magunia kwa magunia hauwezi kuwa woke.

Kitakachokusaidia kuwa "woke" kwanza kabisa jifunze self love.

Pili improve your eating habits.

Tatu, meditate frequently.

You can use herbs to enhance your meditation experience.

Namaste
 
Kufungua jicho la tatu maana yake ni kuwa "woke" spiritually

Ukiwa "woke" mwenyewe utagundua tu.

Utaanza kuwa awere na vitu vinavyokuzunguka. People, animals, nature everything.

Utapenda na kujali watu/wanyama kwa uzuri wao wa asili.

Hautokuwa judgemental.

Pia mtindo wa maisha utabadilika. Food you eat, people you interact with, places you go etc.

Kifupi utanza kuona maisha katika namna mpya nzuri.

Binafsi toka nimekuwa woke spiritually ni mwaka wa tatu sasa.

Faida niliyopata ni kuwa na msawazo kwenye maisha yangu. Kifupi I'm living the best life. I'm at piece with myself and others.

Labda kingine nimekuwa very intuitive. I can feel the truth from your heart. You don't need to tell me who you are. Your energy tells everything.

Pia naweza kusikia kile unachowaza.

Hii mwanzoni nilikuwa nashangaa mwenyewe how possible....lakini sasa nimejua I can hear the voices in peoples thoughts.

Kuhusu marijuana.

Herbs haikufanyi uwe "woke"

Herbs inasaidia watu walikuwa "woke" tayari kuwa eleveted in a new heights of truth and understanding.

Hata ukivuta magunia kwa magunia hauwezi kuwa woke.

Kitakachokusaidia kuwa "woke" kwanza kabisa jifunze self love.

Pili improve your eating habits.

Tatu, meditate frequently.

You can use herbs to enhance your meditation experience.

Namaste
Umeeleza vizuri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom