ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
Ila unaweza uka seti na huku namba yako imesetiwa kimyakimya iwe inarekodiwa sasa unafanyaje au kipi bora
Lazima uwe unakagua namba zilizosetiwa kwenye call forwarding, kama kuna ambayo huifahamu futa.