Nani amejaribu ikakubali

Nani amejaribu ikakubali

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
Eti

*JINSI YA KUJUA KAMA SIMU/LINE YAKO INATUMIKA/INAONWA NA MTU MWINGINE*
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako.
Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.
1564981534457.png
 
Kwa jinsi ulivyoandika yaonyesha umeitoa sehemu....

Ungeandika kwa kirefu Kama ilivyoandikwa kule ulikoitoa ili iwasaidie Watu.
 
Yangu inaniandikia call forwarding on no reply sasa sijui hapo inakuaje
 
Yalaaah kuna libinadamu limoja linanifuatilia kudadeki😡😡😡
 
Mimi nimejaribu nikaona karibu data zote zipo traces, nikafanya iyo ##21# ikaindoa kwa kuniandikia erasure.... karibu kwa kila data.
 
huyu mwenye hii number 07802091904 ni nani?? 😡😡😡😡😡
 
Call forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.
Mfano mimi nimeforward kwa namba zangu mwenyewe, kuna muda namba fulani huwa inakuwa mbali kutokana na sababu maalumu hivyo kama kuna call au sms basi inakuja kwenye namba nyingine ambayo iko karibu, yani ni vile tu mtu utakavyoseti.
 
... wakiamua kudukua wanadukulia kule kule kwenye mitambo au in-transit na sio kwenye simu yako! Yaani kuna jitu linakuwa limetulia mahali linafanya eavesdropping ya mazungumzo yako na madem zako!
 
Call forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.
Mfano mimi nimeforward kwa namba zangu mwenyewe, kuna muda namba fulani huwa inakuwa mbali kutokana na sababu maalumu hivyo kama kuna call au sms basi inakuja kwenye namba nyingine ambayo iko karibu, yani ni vile tu mtu utakavyoseti.
Uko sahihi! La muhimu sheria za nchi na service providers including Vodacom walinde privacy za watu na sio kudukuadukua watu ovyo na ku-leak mawasiliano yao.
 
Hiyo unaunganisheje mkuu?
 
Uko sahihi! La muhimu sheria za nchi na service providers including Vodacom walinde privacy za watu na sio kudukuadukua watu ovyo na ku-leak mawasiliano yao.
mkuu naomba nielekeze namna ya kuona na sms pia
 
Call forwarding kitu muhimu sana hasa kwa wale wenye simu nyingi, namba nyingi au yeyote ambaye yuko kwenye hali ya kutakiwa kutokosa mawasiliano fulani.
Mfano mimi nimeforward kwa namba zangu mwenyewe, kuna muda namba fulani huwa inakuwa mbali kutokana na sababu maalumu hivyo kama kuna call au sms basi inakuja kwenye namba nyingine ambayo iko karibu, yani ni vile tu mtu utakavyoseti.
Ila unaweza uka seti na huku namba yako imesetiwa kimyakimya iwe inarekodiwa sasa unafanyaje au kipi bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom