Jumanho Member Sep 14, 2010 37 5 Mar 1, 2011 #1 Huwa nakaa na kujiuliza ni nani ambaye ana uzalendo na uchungu wa kweli wa hii nchi ili tumkabidhi atuongoze? Wanajamii naomba muongozo wenu bila kuangalia itikadi za kisiasa. Maana mimi kwasasa bado sijamuona huyo mtu nahisi wote ni walewale tu
Huwa nakaa na kujiuliza ni nani ambaye ana uzalendo na uchungu wa kweli wa hii nchi ili tumkabidhi atuongoze? Wanajamii naomba muongozo wenu bila kuangalia itikadi za kisiasa. Maana mimi kwasasa bado sijamuona huyo mtu nahisi wote ni walewale tu