Nani ambaye ni mzalendo wa kweli anaeweza kutuongoza watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani ambaye ni mzalendo wa kweli anaeweza kutuongoza watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumanho, Mar 1, 2011.

 1. Jumanho

  Jumanho Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huwa nakaa na kujiuliza ni nani ambaye ana uzalendo na uchungu wa kweli wa hii nchi ili tumkabidhi atuongoze? Wanajamii naomba muongozo wenu bila kuangalia itikadi za kisiasa. Maana mimi kwasasa bado sijamuona huyo mtu nahisi wote ni walewale tu
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ongea vizuri na huyu....
  [​IMG]
   
Loading...