Kwanini usimwite mwizi au chizi kwa sababu hakuna anayemzidi mpira? Bado hujaeleza ni kwanini umwite Mungu na si vinginevyo?Kila mtu ana maana yake ya kumuita mungu...mimi messi namuita mungu kwasababu hamna anaemzidi mpira ila haimaanishi kila mtu anayejua mpira ni mungu...so swali lako liwe specufic mungu gani unataka nikuambie kwanini aliitwa mungu.
Chagua yeyote kwenye list aliyotuma Scars
Jibu lolote hapo katika maswali hayo halithibitishi mungu yupoUshahidi uko hapa.
1. Dunia na vilivyomo vimejiumba vyenyewe au
2. Vimetokans pasi na chochote ?
Kujibu maswali haya na kutokuyajibu kote kunwonyesha ya kuwa Mola yupo aliye umba ulimwengu na vilivyomo, mwenye ujuzi na malengo pia.
Safi kabisa, jibu hayo maswali uone shughuli yake, na hujawahi kujibu maswali hayo.Jibu lolote hapo katika maswali hayo halithibitishi mungu yupo
Kwasababu kwangu mimi mungu ni mtu ambaye hamna kiumbe kingine kinamzidi mpira.Kwanini usimwite mwizi au chizi kwa sababu hakuna anayemzidi mpira? Bado hujaeleza ni kwanini umwite Mungu na si vinginevyo?
Kwanza sio kila dini inaamini Mungu wengi wanaamini miungu mingi.Kila dini inashikilia usemi huo kua kuna mungu mmoja, mungu unayemuabudu wewe naye hujumuishwa kwenye kundi la miungu katika dini nyingine.
Kwaiyo hii mbinu yako ya kukwepa swali kusema miungu haitakusaidia.
Katika hiyo list mungu wako unayedau ni mmoja hapo hayupo?
Nishakuambia usijifanye we ndo uko serious sana kujali muda. Wote tuko humu kwa ajili ya kupoteza muda kama unashuhuli zako zima data huyu mungu unayemtetea humu hawezi kukuletea tembele nyumbaniHivi inakuwaje unapoteza muda kwa jambo ambalo nimeshalifafanua zaidi ya mara mbili, ndio maana nasema hivi wewe hapa upo kwa kujifurahisha na kupotezea watu.
Nimesema tu msela wangu anaitwa razaq Sijasema msela wangu ni mungu.Umesoma nilichokiandika ? Razaq ni tofauti na "ar-Razaq".Pia wapo wanaoitwa "Karim" ila jina la Mola wetu ni "al-Karim". Kwahiyo kuna utofauti hapo, huwezi kukuta mtu anaitwa "ar-Razaq" au "al-Karim".
Haya mambo yanataka mtu usome, ndio maana huwa nawaona mnapoteza muda sana kwa kumjadili msie mjua, halafu hapo hapo unataka uulizwe kuhusu mungu na miungu, aisee huu ujinga huwa nauona humu humu jf.
Hili neno lingekuwa la kwako hapo sawa tungekuzingatia,lakini umelikuta na lina maana yake, wewe tuna kuita muharibifu na unajidanganya mwenyewe, sawa sawa leo hii utuambie simu kwa mawazo yako ni meza, aisee tutakuona chizi na tuna kupuuza, kama hivi.Kwasababu kwangu mimi mungu ni mtu ambaye hamna kiumbe kingine kinamzidi mpira.
Kila mungu anasababu yake ya kuitwa mungu kwahyo be specidic
Haya sasa Mimi nshakupa sababu ya kumuita messi mungu
Aise kumbe nimepotoka mimi.Hili neno lingekuwa la kwako hapo sawa tungekuzingatia,lakini umelikuta na lina maana yake, wewe tuna kuita muharibifu na unajidanganya mwenyewe, sawa sawa leo hii utuambie simu kwa mawazo yako ni meza, aisee tutakuona chizi na tuna kupuuza, kama hivi.
Unanirudisha nyuma kijana, ambako tukirudi nitazidi kupoteza muda zaidi, nilifunika kombe mwanaharamu apite, yaani kwa lugha nyingine nilijifanya mjinga ili ujibu hoja yangu, lakini kwa ulivyo mjinga ukadai nimekiri wakati unajua kabisa Jurjani/Zurri siwezi kukiri ujinga huo.Wewe ulishakubali kua nimekuthibitishia mungu hayupo halafu unaanzisha mada nyingune unakuja kupiga poyoyo uthibitishiwe tena. Huoni kwamba huko ndio kujifurahisha?
Kwani nani amesema msela wako ni mungu, mbona unajihami mzee ?Nimesema
Thibitisha hilo, isiwe kisa ni jina geni kwako ukajiamulia tu kupayuka. Huna kipimo cha kujua lipi baya hapo na lipi zuri.NB:Lakini naona jina la razaq ni zuri kuliko ar razaq
Rekebisha kwanza sentensi hii, hakuna kiswahili cha sampuli hii. Unasema "mwenye usafi" hiki nini kijana ?Hivi kati ya Usafi na mwenye usafi nani msafi??
Vijana muache kuandika maneno bila kuzingatia usahihi na mpangilio wake. Nikikuuliza dhati ya Usafi ikoje au marejeo ya usafi ni wapi ?Sidhani kama kuna mtu anaweza kuwa na usafi kuuzidi usafi wenyewe
Hapo nimekupata, ila sasa mie nilikuwa nazungumzia Mungu kwa maana ya hili neno "Mungu" na si matumizi binafsi ya mtu kwa hilo neno.Kwasababu kwangu mimi mungu ni mtu ambaye hamna kiumbe kingine kinamzidi mpira.
Kila mungu anasababu yake ya kuitwa mungu kwahyo be specidic
Haya sasa Mimi nshakupa sababu ya kumuita messi mungu
Mungu ni tamko la kiimani ambalo hukusudia yule anae abudiwa na kuombwa.Aise kumbe nimepotoka mimi.
Mungu ni nini basi wewe ujuaye?
Aah nimekupata,hilo neno lina maana gani?Hapo nimekupata, ila sasa mie nilikuwa nazungumzia Mungu kwa maana ya hili neno "Mungu" na si matumizi binafsi ya mtu kwa hilo neno.
Kumbe nilikuwa sijakosea..huwa namuabudu messiMungu ni tamko la kiimani ambalo hukusudia yule anae abudiwa na kuombwa.
Unajua maana ya kuabudu ? Maana nimeona una tatizo kubwa sana la kutumia maneno kimakosa hasa kimaana hata hili pia umekosea kulitumia.Kumbe nilikuwa sijakosea..huwa namuabudu messi
Ona sasa unaniuliza kuhusu post namba wakati nimekutajia huko juu mapemaSafi kabisa, post namba ngapi ? Ukiweka namba ya post naacha kutumia huu mtandao wa "jf" au nawaomba "mods" waufute huu uzi. Sisi tuko "serious" wewe unaleta maigizo,mzaha na utoto mwingi.
It used to be mine, lakini tangu nimepata maarifa mapya it is no longer mine.Unakubali kama hii "kisichopo hakithibitishiki" ni kauli yako ?
Kwaiyo unakubali uthibitisho niliosema nimeuweka humu upo?Hii sheria mbona huifanyii kazi kijana? Maana iko dhidi yako na hili liko wazi kabisa. Au huko humu kwa ajili ya kujifurahisha nini ?
Wapi nimekiri?Miongoni mwa njia hizo ni kukuhoji na wewe ukakiri.
Nimemaliza, nimekuonyesha ya kuwa niliacha kukujinu sababu nilio huna hoja na huna kipya zaidi ya kurudia rudia maneno.
Lina maana ganiUnajua maana ya kuabudu ? Maana nimeona una tatizo kubwa sana la kutumia maneno kimakosa hasa kimaana hata hili pia umekosea kulitumia.
Kaka mimi kazi yangu nimeshamaliza aisee, kuendelea kujadiliana na wewe ni kupoteza muda. Huna hoja, unarudia rudis maswali uliyo jibiwa sasa naona unataka wote tuwe na akili za kitoto kama zako.Ona sasa unaniuliza kuhusu post namba wakati nimekutajia huko juu mapema
sioni mantiki ya kuendelea kujibu swali ambalo nimelijibu mara kadhaa huko nyuma
It used to be mine, lakini tangu nimepata maarifa mapya it is no longer mine.
Unakubali ulishakiri kua nimekuthibitishia mungu hayupo?
Kwaiyo unakubali uthibitisho niliosema nimeuweka humu upo?
Kama unakataa thibitisha haupo halafu utuambie umetumia criteria gani kupata majibu yako
Wapi nimekiri?
Hiyo njia haiwezi kua sahihi kwasababu inakasoro nyingi ambazo ukiitumia haitakupa jibu la kuhitimisha kua kitu fulani hakipo. Kitu kinaweza kikawepo halafu opponent akawa hatoi maelezo ya kutosha we ukahitimisha kua hakipo kwasababu ya uhojiji wako, hautakua sahihi katika majibu yako.
hata kuanza bado hujaanza, hujathibitisha kua hakuna uthibitisho humu niliokuwekea sa utasemaje umemaliza?