Kila mwenye akili hawezi kuwa mwanasakosi
ila hao wenye akili wanajiunga ccm meno ya tembo, epa, kagoda na uchumi unaokua na kuongezeka kwa umaskn??? hao ndo wenye akili etiiii
1.Waasisi wa chaso vyuoni ni juliana shonza, mtela mwampamba na joseph ludovick, na hawa wote wametoswa chadema, make your own minduchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
Hiyo iko wazi mkuu, haihitaji ushahidiTaja hao viongizi kutoka vyuo vingine nithibitishe.
Uvccm wamewahonga lazima kuwapoteza jinsi ulivyoandika japo huko sipajui nimeendana na uandishi wako.uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
Kumbe ww gamba...!? Nlikuana mjanja kumbe nazi.!Kila mwenye akili hawezi kuwa mwanasakosi
Chadema msitafute mchawi waliyeiua Chadema UDSM ni viongozi wa Chadema, Dr.Slaa, Mbowe, Lema.uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
Chadema msitafute mchawi waliyeiua Chadema UDSM ni viongozi wa Chadema, Dr.Slaa, Mbowe, Lema.
Baada ya kuwafukuza Dr.Kitila Mkumbo, na Zitto Kabwe, Chadema, hawa ndiyo walikuwa role model wa vijana wa UDSM.
Vijana wameona hakuna tena haja ya kuendelea na siasi za Chadema bora warudi CCM.
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Hata ukiniita mjinga hauwezi kuiokoa Chadema kuelekea kuzimu.we jinga kabisa, tuoneshe research uliyoifanya kwamba hao pekee ndio role model wa vijana wa Udsm
Ni vyema ungefuatilia ungefuatilia wangapi waligombea na wangapi wamepitisha! Ndio tukaanza jadili waliopitishwa ni chama gani? Maana vyuo vingi watu wengi huwa wanajitokeza,na mara nyingi vyuo vyenyewe huwa na sera ya kupiga chini vijana wanaoonekana ni wapinzani. Hii mimi imenikuta niliwahi tishwa kufukuzwa chuo maana niliasisi tawi mara baada ya kufika chuo.
Basi jina langu lilipigwa chini na tume ambayo Dean of students ndie katibu.
we jinga kabisa, tuoneshe research uliyoifanya kwamba hao pekee ndio role model wa vijana wa Udsm