Anaogopa mwanae asije kukosa uraisi Zanzibar in a long runHalafu unasikia Mzee Mwinyi akijishusha na kumsifia jiwe eti amefanya mengi kuliko waliyofanya wao wanne ukiwaweka pamoja. Huu ni upuuzi wa kupitiliza
Vyuo Vya VETA KILA KANDAHoja yako hapa ni nini Mkuu..?
Funguka zaidi ili upate majibu sahihi..!
Halafu unasikia Mzee Mwinyi akijishusha na kumsifia jiwe eti amefanya mengi kuliko waliyofanya wao wanne ukiwaweka pamoja. Huu ni upuuzi wa kupitiliza
Umri wa miaka 95 kwa Mzee Mwinyi ni parefu. Mara nyingine tusimlaumu kwa kuwa anaweza akawa anaumwa dementia, wa kupoteza kumbukumbuHalafu unasikia Mzee Mwinyi akijishusha na kumsifia jiwe eti amefanya mengi kuliko waliyofanya wao wanne ukiwaweka pamoja. Huu ni upuuzi wa kupitiliza
Hoja yake hujaielewa? Kweli watu wengine mlipewa vichwa kuleta urembo tu! Yaani siku mbili hizi hujui kinachoendelea Sumbawanga? Jiwe anadai haoni mtu wa kumalizia kujenga miradi ya SGR na Stigler Gorge.Hoja yako hapa ni nini Mkuu..?
Funguka zaidi ili upate majibu sahihi..!
50.Nani aliyeharibu zao la morosho????😂😂😁😁 we ni GREAT THINKER KWELI.1. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam?
2. Ujenzi wa Barabara ya Dar mpaka Moro?
3. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa JNIA?
4. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa KIA?
5. Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Mwanza?
6. Ujenzi wa barabara ya Chalinze hadi Segera?
7. Ujenzi wa Chuo Cha Taaluma za Kijeshi- Monduli?
8. Ujenzi wa Jengo Jipya la Bunge-Dodoma?
9. Ujenzi wa Barabara ya Moro-Dodoma?
10. Ujenzi wa Bandari ya Tanga?
11. Ujenzi wa bandari ya DSM/
12. Ujenzi wa barabara ya Moro-Iringa?
13. Ujenzi wa bandari ya Mtwara?
14. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Songwe?
15. Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha?
16. Ujenzi wa Daraja la Mkapa?
17. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Dodoma?
18. Ujenzi wa uwanja wa mpira wa Uhuru
19. Ujenzi wa Chuo kikuu cha kilimo Sokoine?
20. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Mzumbe?
21. Ujenzi wa hospitali ya AMANA?
22. Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili?
23. Ujenzi wa Hospitali ya Mwananyamala?
24. Ujenzi wa Hospitali ya Temeke?
25. Ujenzi wa Hospitali ya Tumbi?
26. Ujenzi ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya nyanda za juu kusini?
27. Ujenzi wa Hospitali ya Benjamen-Mkapa- DODOMA?
28. Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi-Kilimanjaro?
29. Ujenzi wa Barabara ya Arusha-BABATI, MAKUYUNI-KARATU, KARATU-NGORONGORO?
30. UJENZI WA HOSPITALI YA SEKOU TOURE -MWANZA?
31. ujenzi wa MOUNT-MERU HOSPITAL YA MKOA WA ARUSHA/
32. UJENZI WA DODOMA GENERAL HOSPITAL?
33. UJENZI WA MLOGANZILA HOSPITAL?
34. UJENZI WA BARABARA YA DAR-MTWARA?
35. UJE NZI WA HOSPITALI YA MKOA WA TANGA- BOMBO?
36. UJENZI WA CHUO KIKUU CHA ARDHI?
37. UJENZI WA IFM?
38. UJENZI WA MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY?
39. UJENZI WA VYUO VYA WALIMU KILA KANDA NA MIKOA?
40. UJENZI WA BARABARA YA DODOMA-IRINGA?
41. UJENZI WA BARABARA YA ARUSHA-NAMANGA?
42. UJENZI WA BARABARA YA SEGERA-TANGA?
43. UJENZI WA BARABARA YA DODOMABABATI?
44. UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA DODOMA, IRINGA, BUKOBA ETC.
45. UJENZI WA HOSPITALI YA MKOA WA LINDI-SOKOINE?
46. UJENZI WA HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA-MBEYA RUFAA?
47. UJENZI WZA HOSPITALI YA MKOA WA KIGOMA-MAWENI?
48. UJENZI WA HOSPITALI YA MKOA WA SINGIDA?
49. UANZISHWAJI WA BARAZA LA TAIFA LA MITIHANI?
ANAFIKIRI KICHWA NI CHA KUFUGIA NYWELE!!Hoja yake hujaielewa? Kweli watu wengine mlipewa vichwa kuleta urembo tu! Yaani siku mbili hizi hujui kinachoendelea Sumbawanga? Jiwe anadai haoni mtu wa kumalizia kujenga miradi ya SGR na Stigler Gorge.
Mtoa mada ameorodhesha baadhi ya miradi ya watangulizi wake ili kumuonyesha Jiwe kuwa yeye ni sisimizi tu kumlinganisha na waliotangulia.
Hakuna ufadhili wala mikopo? ukarudie home work yako kabla hatujaja hapa na takwimu.Hoja ni vimejengwa kwa muda kiasi gani? Bila shaka ni miaka zaidi ya 50.
Halafu zimetumika fedha kiasi gani ukilinganisha na ubora wa miradi hiyo? Ufisadi uliokithiri, Ufadhili na mikopo.
Wakati wa Magufuli hakuna ufisadi, mikopo wala ufadhili. Hicho ndo tunajivunia. Hatua zinachukuliwa waziwazi.
TRION 2 ZIKO WAPI??😂😂😂😂Hoja ni vimejengwa kwa muda kiasi gani? Bila shaka ni miaka zaidi ya 50.
Halafu zimetumika fedha kiasi gani ukilinganisha na ubora wa miradi hiyo? Ufisadi uliokithiri, Ufadhili na mikopo.
Wakati wa Magufuli hakuna ufisadi, mikopo wala ufadhili. Hicho ndo tunajivunia. Hatua zinachukuliwa waziwazi.