Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,930 Reaction score 27,454 Dec 27, 2023 #61 Allen Kilewella said: Theluji dogo ama sahihi ulitakiwa uandike theluji ndogo!!?? Click to expand... ndivyo chali kidole kina mfupa na uzee pia
Allen Kilewella said: Theluji dogo ama sahihi ulitakiwa uandike theluji ndogo!!?? Click to expand... ndivyo chali kidole kina mfupa na uzee pia
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,808 Reaction score 50,456 Dec 27, 2023 Thread starter #62 Dr hyperkid said: ndivyo chali Click to expand... Chali tena!!! ππππ
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 2,091 Reaction score 1,917 Dec 27, 2023 #63 Msakila Kabende ni msafi kabisa kabisa kabisa. Amin hili
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,808 Reaction score 50,456 Dec 27, 2023 Thread starter #64 Kabende Msakila said: Msakila Kabende ni msafi kabisa kabisa kabisa. Amin hili Click to expand... Na upo CCM?? Mtu kusema ni msafi na yupo CCM ni sawa na kusema umevaa suti nyeupe halafu upo kwenye banda unauza Mkaa!!
Kabende Msakila said: Msakila Kabende ni msafi kabisa kabisa kabisa. Amin hili Click to expand... Na upo CCM?? Mtu kusema ni msafi na yupo CCM ni sawa na kusema umevaa suti nyeupe halafu upo kwenye banda unauza Mkaa!!
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 2,091 Reaction score 1,917 Dec 27, 2023 #65 Allen Kilewella said: Na upo CCM?? Mtu kusema ni msafi na yupo CCM ni sawa na kusema umevaa suti nyeupe halafu upo kwenye banda unauza Mkaa!! Click to expand... Thibitisha kwangu, niko CCM
Allen Kilewella said: Na upo CCM?? Mtu kusema ni msafi na yupo CCM ni sawa na kusema umevaa suti nyeupe halafu upo kwenye banda unauza Mkaa!! Click to expand... Thibitisha kwangu, niko CCM
M Mwami Ntale JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 1,082 Reaction score 2,916 Dec 27, 2023 #66 "Hiyo inaitwa playing safe, " Paschal, by " playing safe"you are either a coward, or a hypocrite. Which one are you?
"Hiyo inaitwa playing safe, " Paschal, by " playing safe"you are either a coward, or a hypocrite. Which one are you?
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 14,619 Reaction score 27,487 Dec 27, 2023 #67 Allen Kilewella said: Usafi unazuia uchawa... Huyo jamaa yako unayemsema ni chawa balaa na huwa hajali anasema nini ili mradi tu kama anachosema kinawafurahisha mabosi wake wa CCM. Click to expand... Na ni wakili ambaye hajawahi muwakilisha mtu yoyote mahakamani kiufupi hajawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku ila huwa yuko busy kuwapa wanachadema ushauri wa kisheria halafu hajui hata kutetea mteja mahakamani inakuwaje.
Allen Kilewella said: Usafi unazuia uchawa... Huyo jamaa yako unayemsema ni chawa balaa na huwa hajali anasema nini ili mradi tu kama anachosema kinawafurahisha mabosi wake wa CCM. Click to expand... Na ni wakili ambaye hajawahi muwakilisha mtu yoyote mahakamani kiufupi hajawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku ila huwa yuko busy kuwapa wanachadema ushauri wa kisheria halafu hajui hata kutetea mteja mahakamani inakuwaje.