HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,432
- 924
hilo jambo hakuna wa kulihoji hata mmoja hadharani isipokuwa shujaa Tundu Lissu ndo maana watanzania wote wanamlilia Mungu ampoye huyu mtu aje atutetee dhidi ya huu utawala wa kiuchwaraEneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.
Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.
Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.