Nani alipanga bajeti ya ujenzi wa ukuta wa Mererani?

Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.

Mkuu dhamira yako halisi unapinga kujenga ukuta kwa maslahi mapan ya Taifa, au shida yako pesa tu.
Fanya analysis ya Urgent na Important
 
Kama unahisi hujatendewa haki,nenda mahakamani au ktk mamlaka husika ukaulize.kwani ukijengwa kwa manufaa ya umma hata kama unaona kunataratibu hazijafuatwa zenye faida ndogo kuliko matokeo,so bora matokeo! Mi niombe sana ndg zangu watanzania tuwe wamoja ktk masuala yenye tija kwa TAIFA
Tija umeipima kwa vigezo vipi?
 
Katika vitu hewa JPM alivyosahau kuvishughulikia kuvifuta
( kuvitumbua)
not hili BUNGE HEWA la Tanzania lililopo.

Halifanyi kazi yake kama ilivyoainishwa katika katiba
walipokuwa wanapitisha posho zao za 300, 000 kwa siku hamkuona kuwa bunge ni hewa ila sasa ndo mnaona hivyo .amna wath wanafiki na wabinafsi kama kama bunge , hivi pesa za bunge ka katiba nani alipitisha
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Sio kila kitu kinapangwa na Bunge tusipende kukariri tu.
 
Ni pesa ya dharura kulingana na uzito wa tatizo lililopo...hivi wewe unadhani vita ikitokea sasa na mkaanza kupigana unadhani fedha ya gharama za vita itatoka kwenye bajeti gani au ipi??? Siyo kila kitu mnapinga tu wakati hamjui hata namna nchi inavyoendeshwa...soma kwanza masuala ya administration na uongozi...pata uzoefu na weledi ndipo uanze kuhoji each and everything...

Kwahiyo ujenzi uwo ni vita? Bora uzio au maji kupelekewa wananchi? Au kujenga madarasa ya shule? Au madawa hospital?
 
Back
Top Bottom