Nani alipanga bajeti ya ujenzi wa ukuta wa Mererani?

Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
hilo jambo hakuna wa kulihoji hata mmoja hadharani isipokuwa shujaa Tundu Lissu ndo maana watanzania wote wanamlilia Mungu ampoye huyu mtu aje atutetee dhidi ya huu utawala wa kiuchwara
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Hiyo mijadala na hizo taratbu za kirasmu ndio zimetufksha apa tulipo kwa hiyo ulitaka wezi waendelee kuibia nchi kisa kusubiri jambo husika kwenda Bungeni hivi unajua kua Rais ndie Approval mkuu wa Fund yeyote ata wa Bunge. ..unahisi Budget ya Mfuko wa Rais inashindwa kujenga ata Ukuta tuache siasa kwenye masuala ya msingi au mkiri kua ni moja ya wahanga wa deal zilizozbwa ata mtoto mchanga anajua wizi uliokua unaendelea Tanzanite One na kuwafanya watu flan flan waliowekwa pale kama wamiliki fake kua mabilionea from no where
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Pesa akusanye Mwengine wewe uje kumpangia namna ya kuzitumia ...
 
Mkuu tatizo lako una mapenzi ushabiki hautaki ku simama katika ukweli.
Una maana sheria ya manunuzi ya umma ifutwe tufate anachotaka mzee Magufuri?
Mkuu huko kwenye sheria ya manunuzi ndipo watu walipokuwa wanapiga sana miaka ya nyuma. Huko kwenye urasimu wa twende bungeni tusikilizane halafu tuamue, ndipo panapochelewesha maendeleo ya sekta nyingi.

Mbwembwe za urasimu wa maamuzi ni adui wa maendeleo ya dunia ya kidigitali. JK aliwahi kulalamikia mambo haya enzi zile lakini hakuchukua hatua. Ngosha huwa akilalamikia jambo ujue kinachofuata na matendo yanayofanana na kauli zake.
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Hivyo vitu vimerudisha nyuma maendeleo, sasa hivi kanyaga twende.
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.

Hivi unajua Raisi kikatiba anauweza wa kufanya hapo unapo lala kukawa shule ya uma au kwa kazi yeyote ya uma ......siyo kila kitu bunge Raisi wako kikatiba anaweza ,acha kuhoji hata ya msingi huoni [HASHTAG]#Tanzanite[/HASHTAG] itakuwa inauzwa kwetu tuu na soko liwe kwetu tuu na siyo kenya au india ..... Daa tanzania hatujui siasa zinatuangamiza kila mtu ni mwanamdomo na siyo mwanasiasa
 
Nisome vizuri mkuu. Nimeandika kwamba amefanya jambo jema, kwa nia njema lkn utaratibu najisi. Tuliutengeneza wenyewe utaratibu huu na kuuweka ktk katiba, na aliapa kuilinda katiba. Hivyo siyo jambo la kufurahia akienda kinyume cha utaratibu hata kama jambo lenyewe ni la manufaa.
 
Habari za mchana wana Jamvi, naomba mlieweshe kdg ile pesa ya kujengea uzio kwenye mgodi pmj n kamera za kisasa n scanner ambapo hata umezi chembe ya mchanga inaonekana n PESA yk inatoka kwenye bajeti ya ipi wakati bajeti ishapitishwa BUNGENI? Naomba wabunge ndio wanijibu ambao ni wa CCM wenzangu
 
Subiri wabunge waje wajibu
 
Ni pesa ya dharura kulingana na uzito wa tatizo lililopo...hivi wewe unadhani vita ikitokea sasa na mkaanza kupigana unadhani fedha ya gharama za vita itatoka kwenye bajeti gani au ipi??? Siyo kila kitu mnapinga tu wakati hamjui hata namna nchi inavyoendeshwa...soma kwanza masuala ya administration na uongozi...pata uzoefu na weledi ndipo uanze kuhoji each and everything...
 
Habari za mchana wana Jamvi, naomba mlieweshe kdg ile pesa ya kujengea uzio kwenye mgodi pmj n kamera za kisasa n scanner ambapo hata umezi chembe ya mchanga inaonekana n PESA yk inatoka kwenye bajeti ya ipi wakati bajeti ishapitishwa BUNGENI? Naomba wabunge ndio wanijibu ambao ni wa CCM wenzangu
Òne Man Show
 
Eneo la machimbo ya Mererani limeamriwa kujengewa ukuta na kamera za kisasa kabisa kuwekwa eneo lote. Ni mpqngo mzuri wenye nia nzuri lkn umetekelezwa pasipo kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.

Suala hili lilipaswa kuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti lililopitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha 2017/2018. Sasa mtu anapoamka tu na kuamua ukuta ujengwe kuzunguka eneo lote la Mererani ni upokwaji wa madaraka ya bunge.

Sote kwa umoja wetu tulikatae hili la fedha zetu kupangiwa matumizi nje ya utaratibu tuliojiwekea. Vinginevyo tunandugaiwa.
Siyo wote ni wabunge, na mwisho wa siku ubunge ni ajira, watu wanatafta maisha siyo kusaidia wananchi
 
Kipindi kile anaanza Fanya budget mis-allocation tulishangilia, tumechelewa sana.
He'll continue to swindle it as he wants.
Bajeti nyingine zimewekwa ili watu wale. Kuzichenjua ili umma unufaike ni sawa tu
 
Back
Top Bottom