Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 25,041 35,911 Feb 22, 2016 #1 Seriously hili swali linaniumiza akili. Vigezo gani vilitumika kumteua msuluhishi huyu? Kwa kuwa alichokuwa anasuluhisha ndicho akifanyacho miaka yote. Tumerogwa Afrika
Seriously hili swali linaniumiza akili. Vigezo gani vilitumika kumteua msuluhishi huyu? Kwa kuwa alichokuwa anasuluhisha ndicho akifanyacho miaka yote. Tumerogwa Afrika
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 42,003 12,782 Feb 22, 2016 #2 Wenzake ndio wamemuona eti ana ushawishi katika ukanda huu