Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Katishia nyau na nafikiri ameona upepo ulivyovuma , na kaamua kuingia mitini.
Ile hotuba yake isivyokuwa na mpangilio ndo dalili za kuchanganyikiwa. Waswahili wanasema hata Abson alikuwa Arusha , ujumbe gani kamfikishia haijulikani.
Abson=Apson?Katishia nyau na nafikiri ameona upepo ulivyovuma , na kaamua kuingia mitini.
Ile hotuba yake isivyokuwa na mpangilio ndo dalili za kuchanganyikiwa. Waswahili wanasema hata Abson alikuwa Arusha , ujumbe gani kamfikishia haijulikani.
Nionavyo mimi
Lowasa alijua akisema basi mkuu atakuwa anahusika hivyo kusababisha yeye Lowasa kutopita huko CC.
Ameamua kaa kimya ili akipitishwa aseme au akiwa Raisi aseme kilichotokea na kwanini alikuwa kimya
Nadhani sahihisho lako limezingatiwaAbson=Apson?
Na CCM haiwezi kufanya ujinga wa kumpitisha mwizi.Lowassa akipitishwa CCM inaanguka. I give you my word.
wizi wizi tuu, alikuwa wapi siku zote hizo kama hakuhusika?!