Kuhusuala la Dr. Ulimboka wana JF changanueni habari hii. Suala la kutenguliwa Ubunge wa Lema wa Arusha Mjini kiutata umefanywa na Jaji mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa na mhusika mkuu wa utekaji na kupigwa vibaya kwa Dr.Ulimboka inasemekana anatoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Hapa tunapata picha gani? Tutafakari na tuchukue haTUA.
heresay
I can't agree more. It is a shame when JK and Pinda denies their involvement when it is clear that they gave an implied order to silence Dr Ulimboka."liwalo na liwe"....issue ilianzia hapo!
mheshimiwa itakua aliwaita TISS akawaambia hebu tatueni hili tatizo, mbona hawa wanakirburi sana! nani anawapaujasiri huu!!!..sasa wakubwa wa TISS wakakurupuka kwenda kwa vijana wao wakawaida, wasiokua na uwezo kufikiria kwa upana...walipopewa maagizo wakatatue tatizo basi wao wakaenda kufanya kwa kutumia mazoea!!! kumbe wanaharibu bila kujua!!!
...
Stop confusing the mases you guys ... East or West your days are definitely numbered!!!!
Wewe ni kuwadi wa wauaji sio nawe watakua wakigundua manufaa kwao yamepungua. Ujue pia kuwa wauaji hao hawako juu ya Mungu sasa je wanamuonba Mungu wawaue wapinzaji wao kimawazo?Tafakari.
Kuhusuala la Dr. Ulimboka wana JF changanueni habari hii. Suala la kutenguliwa Ubunge wa Lema wa Arusha Mjini kiutata umefanywa na Jaji mfawidhi wa Mkoa wa Rukwa na mhusika mkuu wa utekaji na kupigwa vibaya kwa Dr.Ulimboka inasemekana anatoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Hapa tunapata picha gani? Tutafakari na tuchukue haTUA.
Haya mmeshamjua na Madaktari wamerudi kazini na viherehere wapatao 200 watashtakiwa kwa hiyo mnachotaka ni nini? Mumkamate mtesaji au muache migomo ya kura kwa nini msisubiri 2015 ili muone Ballot Box zitavyojibu hivi ugumu wa kutawala mnaujua ni Nchi gani haita Kitengo cha Usalama?

mzee wa meeeee
nakubaliana na wewe %tririon mia.Kwanini mnaumiza vichwa kutaka kujua nani aliagiza Dr. Uli auwawe? Hivi mnahitaji bingwa wa Kiswahili yule Nahodha awafafanulie ile kauli ya Pinda kuwa LIWALO NA LIWE ilimaanisha nini? Wakuu GT mnajidhalilisha.