Matokeo ya mwaka jana yalizua gumzo,wanafunzi wa kidato cha 4 walifeli,unathani wa kwanza kulaumiwa awe nani,je wanafunzi,walimu,ama waliotunga mitihani,ama nani
mimi nadhani kila mahali kuna mapungufu yake, na kila sekta yapaswa kulaumiwa, kuanzia serikali - haitoi vipaumbele vya kutoshe katika elimu, mishahara midogo kwa waalimu, vifaa vya kufundishia n.k, waalimu wenyewe, wamekua sio wa kujituma, wanachakachua fedha kutoka wizarani, wanakimbia madarasa na kwenda kufundisha tution kutokana na kipato kidogo n.k, na pia wanafunzi wengine siku izim usharobaro mwingi, kujiingiza katika maswala ya mapenzi wakiwa na umri mdogo hence concetration shuleni kupungua n.k,,, kwahiyo, kwa upande wangu mimi, circle nzima ni ya kulaumiwa, fault haiko katika sehemu moja wapo tu, bali the whole system
huu uzi uishie hapa maana mkuu umetoa mawazo ya kila great thinker humu kwenye jukwaa...good explanations.