Nani akamwambie Mh. Mnyeti ulikosea?

Nani akamwambie Mh. Mnyeti ulikosea?

Ni jukumu la wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kuhakikisha CCM inashinda chaguzi zote ili CCM iendelee kutawala milele!
Mh.Pinda Augst 2012
 
Maneno aliyosema mkuu wa mkoa wa Manyara kuhusu madiwani na wabunge wa CHADEMA sio ya kitanzania.

MTU mwenye cheo cha amirijeshi na rais wa mkoa hapasi kuitumia lungha ile kwa watu wa kawaida kabisa, lumpen.

CHADEMA iligombea urais na ikapata kura 6 mil. Wapiga kura ambao bado wako mitaani hadi kesho.

Hata Marekani Na Ulaya viko vyama vingi vyenye nguvu sana na upinzani mkali lakini hakuna lugha hizo. Trump anapinga kila kitu alichofanya Obama lakini hajasema hatashirikiana Na wabunge wa Democrat,

Wakati Makonda anahimiza umoja kwa kwa watu w DSM kuchangia maendeleo yao Mnyeti anawabagua watu wake.

Hakuna ukuu wa Mkoa wa milele bali kuna wanamanyara yao wa milele. Asiwachonganishe watanzania, vyama vya siasa ni vikundi tu.
RC kasema yeye baada ya kufika Manyara madiwani na wabunge wao wawili wakaanza kukaa vikao vya kujadili jinsi ya kutompa ushirikiano sasa yeye anaanza kuwapa ushirikiano watu ambao hawataki kumpa ushirikiano hawezi kunipendekeza kwa diwani kumpa ushirikiano na wakati huo diwani hataki ushirikiano wake kwa maelekezo kutoka kwenye chama chake,kingine wale madiwani wanapnga serikali iliyopo madarakani lakini yeye anatekeleza sera za serikali iliyopo madarakani kwaiyo kila mtu pale anamitazamo yake ushirikiano hapo unatoka wapi mkuu wa mkoa kaongea ukweli wake toka moyoni na ndio ukweli ulivyo kakosea wapiMnashirikianaje wakati mitizamo yenu hipo tofauti katika kutenda mtafika sehemu mtapingana tu tena mbele za watu kama Lema na Gambo kule Arusha mnaaibisha wageni ni bora mweke wazi mitizamo yenu na katika ushirikiano wasitokee kabisa kuliko kwenda kupingana mbele ya wananchi na wageni pia Rc yuko sawa kabsa kama mtu unafikilia vizuri .
 
kwa akili ya harakaharaka huyu mtu katumwa,,,pamoja na kutumwa kaleta kama alivyotumwa,,hata akili ya kujiongeza hana,,inawezekana na yeye ni division zerooooo,,,,,ukitumwa ongeza na akili yako ya kuzaliwa(common sense), KAULI YA TRUMP INA UKWELI KWA UPANDE MWINGINE,,,VIONGOZI WETU NI SHIDAAAA
 
RC kasema yeye baada ya kufika Manyara madiwani na wabunge wao wawili wakaanza kukaa vikao vya kujadili jinsi ya kutompa ushirikiano sasa yeye anaanza kuwapa ushirikiano watu ambao hawataki kumpa ushirikiano hawezi kunipendekeza kwa diwani kumpa ushirikiano na wakati huo diwani hataki ushirikiano wake kwa maelekezo kutoka kwenye chama chake,kingine wale madiwani wanapnga serikali iliyopo madarakani lakini yeye anatekeleza sera za serikali iliyopo madarakani kwaiyo kila mtu pale anamitazamo yake ushirikiano hapo unatoka wapi mkuu wa mkoa kaongea ukweli wake toka moyoni na ndio ukweli ulivyo kakosea wapiMnashirikianaje wakati mitizamo yenu hipo tofauti katika kutenda mtafika sehemu mtapingana tu tena mbele za watu kama Lema na Gambo kule Arusha mnaaibisha wageni ni bora mweke wazi mitizamo yenu na katika ushirikiano wasitokee kabisa kuliko kwenda kupingana mbele ya wananchi na wageni pia Rc yuko sawa kabsa kama mtu unafikilia vizuri .
Wabunge wamechaguliwa na wananchi na Mkuu wa mkoa ameteuliwa na Rais, hivyo wananchi wa Manyara = Wabunge/madiwani wao kiakili na kimtizamo. Mkuu wa Mkoa, Mnyeti ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa watu walioipenda Chadema, hivyo anapaswa kushirikiana nao hivyohivyo kama walivyo au anaacha ukuu wa Mkoa wa manyara. Kuwakataa wabunge wao ni sawa na kuwakataa wananchi wa manyara pia, hii haiwezekani hata kama inatia kichefuchefu. Hakupaswa kutamka hadharani kwamba sintashirikiana na wabunge (wananchi) wa Manyara, angetumia style nyingine.Kuwakana wabunge wao ni kuwakana wananchi waliowachagua pia.

Kwa manufaa ya watoto (wananchi) baba hawezi kutamka mbele ya watoto ugomvi wake na mama yao.
 
Sasa mkuu unashirikianaje na mtu ataki kushirikiana na wewe na kakaa vikao yeye na madiwani wake wote wakasema hatumpi mkuu wa mkoa ushirikiano.kingine wafrika tunapenda kuishi na wanafiki kwamba mtu anakosea lakini umwambii ukweli sasa ulitaka Rc akaongelee wapi yale au amwambie nani wafrika tunashida mtu akisema ukweli tunamwona kakosea na hafai ila mnafiki anaekuchekea anakupiga chini kwa chini tunafurahia na akaongeza walianza kumkata wao yeye hawezi kuwafata kuwaomba ushirikiano jamanii tuwe tunamsikiliza mtu vizuri na kujua mtazamo wake ni upi,mfano ni Rc Gambo na Lema pale kuna mmoja alikua anataka ushirikiano mwingine hautaki matokeo yake Lema uvumilivu ukamshinda akataka kuharibu shughuli ile na ikawa aibu kwa wageni sasa ni bora kuwa kama Rc Mnyeti unaweka wazi flani na flani ni wapinzani wanapngana na serikali kwa itikadi zao basi sishirikiani nao kila mtu atatumikia wananchi kwa njia anazozijua me nakubali serikali nitashirikiana na serikali kufikisha huduma hyu anaenda na falsafa ya chama chake basi atatumikia wananchi kupitia chama chake kuliko kuishi kinafiki alafu mnaaivishana mbele ya wananchi matusi na ubabe ni mbaya zaidi kuliko kuwaeleza wananchi kua flani sishirikiani nae hata madiwani wakifika kwa wananchi wanasema ivyo ivyo mban wao hawaongelei pembni,alafi mkuu wa mkoa akiongea watu wanasema anakauli mbya.
 
Angepata maoni ya wananchi wa Manyara kuhusu vitendo vya wawakilishi wao asikie wanasema nini. Angewashitaki kwa wapigakura wao ili waone namna na njia wawakilishi wao kukwamisha maendeleo yao angepata faida kubwa sana na huenda wangemshauri mambo ya heri, maana maendeleo hayana chama. Wewe, mimi na wadau wengine wa Manyara hatuna uhakika na kauli na matendo ya wabunge na wadiwani wa cdm dhidi ya Mkuu wao wa Mkoa, tumesikia ya upande mmoja tu wa Mkuu wa Mkoa.

Huwezi kufanya maendeleo kwa mujibu wa katiba bila kuwashirikisha wabunge na madiwani wao.
 
Mtu maniki hawezi kuwadharau watu walioaminiwa na watu wazima 6mil wenye uwezo wa kupiga kura na kufanya kazi nyingine za kitaifa. Uchaguzi umekwisha malizeni makovu ya tangu 2015. Wa democrats wanampiga Trump mwanzo mwisho lakini hatujasikia Senator akatamka maneno makali kama ya Mnyeti. Hii inawapa wazungu nafasi ya kututukana Waafrika. Hakuna chama cha siasa cha upinzani duniani kinachokisifia chama tawala, labda vilivyounda serikali ya umoja.
Wengi wa watawala wa awamu hii walikuja mjini kusomaa= washamba
 
Maneno aliyosema mkuu wa mkoa wa Manyara kuhusu madiwani na wabunge wa CHADEMA sio ya kitanzania.

MTU mwenye cheo cha amirijeshi na rais wa mkoa hapasi kuitumia lungha ile kwa watu wa kawaida kabisa, lumpen.

CHADEMA iligombea urais na ikapata kura 6 mil. Wapiga kura ambao bado wako mitaani hadi kesho.

Hata Marekani Na Ulaya viko vyama vingi vyenye nguvu sana na upinzani mkali lakini hakuna lugha hizo. Trump anapinga kila kitu alichofanya Obama lakini hajasema hatashirikiana Na wabunge wa Democrat,

Wakati Makonda anahimiza umoja kwa kwa watu w DSM kuchangia maendeleo yao Mnyeti anawabagua watu wake.

Hakuna ukuu wa Mkoa wa milele bali kuna wanamanyara yao wa milele. Asiwachonganishe watanzania, vyama vya siasa ni vikundi tu.
Mnyeti.Makonda.Gambo baba yao ni mmoja nda ndiye anawatuma na kuwapa kibali na baraka zote
 
Back
Top Bottom