kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,047
- 17,396
Maneno aliyosema mkuu wa mkoa wa Manyara kuhusu madiwani na wabunge wa CHADEMA sio ya kitanzania.
MTU mwenye cheo cha amirijeshi na rais wa mkoa hapasi kuitumia lungha ile kwa watu wa kawaida kabisa, lumpen.
CHADEMA iligombea urais na ikapata kura 6 mil. Wapiga kura ambao bado wako mitaani hadi kesho.
Hata Marekani Na Ulaya viko vyama vingi vyenye nguvu sana na upinzani mkali lakini hakuna lugha hizo. Trump anapinga kila kitu alichofanya Obama lakini hajasema hatashirikiana Na wabunge wa Democrat,
Wakati Makonda anahimiza umoja kwa kwa watu w DSM kuchangia maendeleo yao Mnyeti anawabagua watu wake.
Hakuna ukuu wa Mkoa wa milele bali kuna wanamanyara yao wa milele. Asiwachonganishe watanzania, vyama vya siasa ni vikundi tu.