Nang'atuka rasmi kutoka CCM

kama ilivofanywa siri na wakuu wakifia huko marekan,uingereza, india n.k wazikwe huko huko na misiba iwe ya siri kama huu
 
Kaazi kweli kweli, kwani mpaka sasa hao ndugu wa balal bado wanatembea na walinzi? Kwanini hawasemi ukweli mpaka sasa?
Nenda Iringa kawasalimie, wapo waulize walipomzika marehemu. Balali hakuwa na familia (i.e Mke na watoto), wamelipwa kifuta machozi chao na BOT?
 
wanasiasa we2 hawajakomaa na cc wananchi hutujajua ni nn wanasiasa wanatakiwa ku2ambia. Cc sote tumepotea.. mfano una kiu ya maji akija mtuu akikudanganya kuwa usipokunywa maji utakuwa tajiri nafikiri utafurahi na kuwa na matumaini hayo , lakini ukweli utabaki palepale kuwa bado utaendelea kuwa na kiu ya maji. Maana yake ni nn mtachagua viongozi kwa ushabiki au kwa kudanganywa na maneno huku uwezo wa kuwaletea maendeleo hawana.. sasa mtu anapiga kampen kwenye jimbo lenye matatizo ya barabara, afya, maji na n.k badala ya kuongelea matatizo yaliyopo anazungumza kuhusu vifo vya watu wengine, huu ni uchochezi.
 

Masahihisho, mimi sasa nina miaka 63 sijawahi kunywa pombe, ila nina uhakika walevi hawaogopi kusema ukweli waliona. Na hapa analogy yako si sahihi Mkapa was sober and VJN was sober ni kuwa hatukuwa tayari kusikia taarifa hii kwa kiwango hiki toka kwa watu hawa.

Nakushauri mtoa mada huna haja yakututangazia kutoka kwako CCM. Toka kimya kimya you will not regret.
 
ni uamuzi mzuri,
leo nimelia sana kusikia kuwa ben alimwua mwl.
miwani imelowa machozi, lol.
 

Hakuna wa kukutaka humu CCM ni wastaarabu sana ulichokosea ni kuwa umeandika Halima Chifupa au umepewa ukopi?
 
Ongeza vifo hivi
f). Gibson Mwaikambo
g). Professor Mwaikyusa
h). Stan Katabalo
i). Horace Kolimba

Wengine endelezeni

j). Nicas Mahinda k).Imran Kombe
 


mshihangaike.....daudi balali yupo na jana ameondoka hapa meryland ....mzima wa afya tele..
 
Tofautisha kuua na kuhusika kijana, hacha kutumia M>A>S>A>B>U>R<I kufikiria
Wee dogo akili yako haijatulia kabisa. Wee kila mtu unafikiria anawaza kwa masaburi na kumwona ni mdogo wako, mtu mwenyewe 1999 ulikuwa form four halafu unajiona mkubwa kuliko wengine wote hapa JF. Kuhusika ni kufanyeje sasa? Kama tukisema umehusika katika mauaji si manake umeua? Sasa leta ushahidi wa namna Mkapa alivyohusika. Au na wewe umekuwa mpayukaji kama mtoto wa kufikia wa Nyerere? Hili ni jukwaa la great thinkers leteni vitu vyenye ushahidi na siyo upayukaji tu. Mtalifanya hili jukwaa likose heshima.
 
kamugisha kama sikosei ulisoma mkwawa advance,kama ndo wewe nakufahamu we n mweupe kichwan,hatuna haja ya kukushawishi,ondoka bwana huna maana ndan ya ccm,kama unajiamini weka namba full,we mhaya wa ajabu,sijawah ona wahaya kama wewe,
 
Inaogepesha sana siasa ya Tanzania na Africa kwa ujumla..Ila Wanasiasa wanasahau wale wanaowaondoa kabla ya muda wao ipo siku watakutana.. Wanasahau wengine wametangulia na sisi tutawafuata..sijui hiyo aibu siku wakikutana mbele ya haki..utesama samahini au utafanyaje?!!
 
Mimibaba, kuwe kuna ukweli au hakuna ukweli juu ya huu uuaji wa hawa viongozi wawili, yafaa tupewe ushahidi ambao utatufanya tutoke hapa kifua mbele kwenda kuwaambia wengine juu ya huu unyama wa hawa watu. lakini kufanya conclussion kwa kutumia hisia ni pity.
 
Ta Kamgisha yani mimi nilijua tuko pamoja kumbe wewe tulikuacha nyuma ulidhani watabadirika nibora maana na wewe wasije wakakuppitia!!amia airtel!
 
Akuanzaye mmalize, mhukumu na yule anayejipa mamlaka ya kutambua na kutangaza wazaliwa wa ukoo wa nyerere umkumbushe pia kwamba wazanaki hawali panya!
 
siriiiiii imefichukaaa
mkapa ulimuua nyerere
duniani hakuna siri.
Mwakyusa umeficha siri
kisa uwaziri miaka 10
kweli nimeamini ccm
wanauwa watu
 
Baada ya kifo cha Mwalimu, Mkapa akahakikisha kuwa wale tuliowaita Makupe, Makabaila, Mabepari, Wanyonyaji na Makaburu tunabadili majina na kuwaita wawekezaji. Sijui uwekezaji upi wakati wanaofaidika mostly ni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…