Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Nitoe pongezi kwa kuwepo maonyesho yote mawili. Na pia nitoe pole kwa viongozi waandamizi wa Serikali na Mawaziri kwa shuruba za usimamizi wa mambo 2 kwa wakati mmoja.
Nimefika Nanenane Simiyu nimeona hali ilivyo. Ni viongozi wachache wanaotembelea maonyesho hayo, hasa Mawaziri, na kiukweli yamepooza kwa kiasi fulani. Na hata wanaotembelea, wanaruka mabanda mengi na kutembelea machache tuu. Mfano naibu Waziri wa Viwanda.
Ninajiuliza kwenye hali kama hii ukizingatia maonyesho ya Sadc yamefunguliwa jana na Mh. Rais hali itakuwaje.
TBC na vyombo vingine vya habari, vitaweza kumudu kutoa dozi ya kutosha kwa kuhabarisha ipasavyo potepote. Au attention kubwa itakuwa upande wa Sadc ?
Naona kuna kila dalili, hamasa na matarajio ya maonyesho haya 2 ikapungua sana.