NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
shostito ndio naingia IR ngoja niwe mpole huku nilipo kwanza halafu nikirudi ofa yatu ya serenast ipo pale pale. sist wamjuast huyust nist kimeost dawast yakest nist kulest
naingojajest ssst ofast yetust tenast polest kwast safarist!
 
why speechless ma drearest shostito? umesahau kwamba ninatenda la kunyonyesha jeshi la nyumbu. hebu nikumbushe tena ule wimbo wa top in town kauimba nan tena?
khadija kopa beste! tena boy friend wake handsomeeee watu wanamshobokea, na ana kituo mwananyamalaaaaa! chezeiya wenye mji weye?? lol
 
khadija kopa beste! tena boy friend wake handsomeeee watu wanamshobokea, na ana kituo mwananyamalaaaaa! chezeiya wenye mji weye?? lol

Hivi we una mabestee wangapi? Khaa!
 
we cheka naye tu! Siku utakayojikuta mabwepande umetolewa malabuku zako ndio utakoma kung'ang'ania visivyolika! Babu una uchu kama maumba!

Khaa! Wife mkali lol. Sasa bestee Maumba si alikuwa ana uchu wa kulambamo wanaume vinyeoni. Huoni umenitusi?
 
khadija kopa beste! tena boy friend wake handsomeeee watu wanamshobokea, na ana kituo mwananyamalaaaaa! chezeiya wenye mji weye?? lol

hapo chacha, haaaaah! hivi nikumbushe tena hapa chai zetu twanyea wapi tena? na je our next outing ni wapi tena? hakyanani nataman kama kesho irukwe iamkie ijumaa lol! can't wait for that my dearest.

unatamani mume wa mtu! tena utupisheeeee tutolee shombo lako la papa hapa! BADILI TABIA na Yummy mnamuona majinuni huyu??

hivi hata wewe msiri wangu?? lol! hope utanifichia siri kwa Kaizer ma swtlo. si wajua jaman huyu n shem.
 
Last edited by a moderator:
hapo chacha, haaaaah! hivi nikumbushe tena hapa chai zetu twanyea wapi tena? na je our next outing ni wapi tena? hakyanani nataman kama kesho irukwe iamkie ijumaa lol! can't wait for that my dearest.



hivi hata wewe msiri wangu?? lol! hope utanifichia siri kwa Kaizer ma swtlo. si wajua jaman huyu n shem.
nna kifua tena cha chuma chakavu, usijali sina mambo ya kumwaga mpunga hadharani mie, lol! chai kuleeeeeee na lunch mitaa ya chini, lol, chezeiya gfsonwin weye!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom