NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Hahahha hahhhha hahhha hahhhahah!
Pole zake babu yangu kipenz Asprin zimfikie popote alipo asijali sana kwan hata hao wawili aliobaki nao si hapa watamfuta machozi na kumsahaulisha machungu ya kibuti lol!

Hongera Mr Rocky kwa kurudiana na mkeo Yummy lol!
Ila itakuwa vizuri km mkeo atakuja na kuthibitisha hili na babu Asprin naye akaja na kukiri kuachika kwake lol!

Hahahaha CANtalista huyu Babu Asprin hawezi kukubali maana ni king'ang'anizi mbaya
Ila ajue kuwa Yummy niko nae hapa kwa raha zangu aise
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha hahhhhaahahahhaha hahhhhahha!

Hapa naomba niishie kucheka tu lol!

Namsubiri Yummy aje aseme vhochote kwan babu keshasema yeye haongei kitu lol!
Cantalisia naomba usiongee kitu we endelea kula burudani tuu
Babu Asprin leo ushindi anakosa na wake zake watamkataa na lile kreti la bia hatapata
Sijui babu Dark City kaishia wapi leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom