NaneNane Show:.... Nani Zaidi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NaneNane Show:.... Nani Zaidi????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Aug 7, 2012.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Wakulu wasalaam,

  kama mnavyojua kesho ni sikukuu yetu wakulima. Nyie wafanyakazi kesho eti mtapumzika wakati sie tutaenda shambani kulima kama kawaida......... Very unfair.

  Kama mjuavyo vijana wengi hamjishughulishi kwa kilimo. Sie wazee tunaoshika jembe tumeamua kesho tuungane na nyie.... hakuna kufanya kazi. Na tumedhamiria kutoka bomba kujumuika nanyi kaunta kusheherekea siku yetu.

  Kama kawa tushakamata viwalo vya kutokea.... Eti mwaweza niambia nani ametoka bomba zaidi??

  Je ni Bishanga??

  [​IMG]

  Au Mzee mwenzangu Dark City?

  [​IMG]

  Yawezekana akawa mzee kijana Kaizer?

  [​IMG]

  Au ni mimi mwenyewe ODM mwenye wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho??

  [​IMG]

  Shindano hili linadhaminiwa na kiongozi BAGAH ambaye amenambia mshindi atazawadiwa kreti moja la bia na kulipiwa ruum gesti ili ajivinjari na mmojawapo kati ya mabinti wafuatao ambao wamesharidhia watatoa burudani bila kinga: charminglady, Cantalisia, princess enny, ummu kulthum, sweetlady na Catherine.

  Msimamizi wa uchaguzi ni Erickb52 akisaidiwa na KARIA.

  Karibuni mnipigie kura.

  (JAMANI NAOMBENI KURA ZENU)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  futa kwanza uache uzi mmoja,
  au bado unatumia ile nokia niliyokununulia mwaka mwa juzi
  kwenye gulio.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Babu The Finest Yuko wapi???
  Au list ya "counter ya juu" imekatwa
  Pamoja na mkuu Teamo..

  Anyhow , you have my vote :)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  aaaaaaaaaaaaah babuuuu!!umependeza sana kasoro hujashave ndevu tu,af bila kidhibiti mwendo hakitoki kitu babaangu we.kama huna ninazo kwa pochi...........
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nimekuvotia hubby wangu, then Kaizer shem wangu wa ukwee naye nimemvotia, lolest!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Wale siyo wazee, hii sredi haiwahusu... Kura ya kwanza hiyo. Senkyu!

  Kura ya pili hii.... senkyu

  Kura ya tatu... huruhusiwi kuvotia mtu zaidi ya mmoja. Hii ingeweza kuhesabiwa kama imeharibika lakini kwa kuwa weye ni mai waifu hii inaangukia kwangu. Ya tatu!! Senkyuuu!!
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Si wajua The Finest anamatatizo ya miguu? Yuko mazoezini kidogo.

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  huu mchakato umekaa ki wiziwizi na vielelezo ninavyo nasubiri wakuu wa uchanguzi erick52 na KARIA watie timu niwakilishe malalamiko yangu. af da K ulipateje kazi ya usimamizi kama huja ....................... na.......................?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ummu kulthum upo best?? hubby Asprin hebu mpe cheo ummu kulthum usafishe nyotaye kwanza, alitembea na vizuruda wakampaka nuksi au we ndio DaJane?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Usiniambie kumbe ummu kulthum kishaachana na nanihii? LOL Kweli yanipasa kumuosha nyota yake... kam zis way ummu

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hhahha hahaha hahhahah,uwiiiii jaman hhhahhahahahhah!
  Haki ya nani babu Asprin hapa umeua lol!
  Sasa hili shindano wakezo wamekubaliana km utashinda wewe?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Tatizo Erickb52 kalowea kwa vimwana. Mpaka amalizane na Preta na Blaki Womani ndo atatia timu hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  she or he ishhhhh ua finish yoooooo!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Chezeya wake zangu? Unaona tulivyotoka mbali na cacico enzi hizo anajiita Natasha?

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kura kwa Bishanga
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ila muandiko wangu haubaliki hubby, umeona ee??
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,223
  Trophy Points: 280
  Nikuulize wewe, si ndo ulikuwa naye mpaka cacico ananiomba nikusafishe nyota.....Vipi mapigo yake??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nipo shoga yangu, aku huyo mi simjui. mi cheo sitaki ila nachotaka ni kusafisha star basi.
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  platozoom mzuri wa asili sio wa mkorogo ww huyo ni yule rafiki yake huwa wanafanana sana ila nikimtaja noumaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Asprin nangoja waje wapige kura then ntatoa maamuzi...
  Naomba KARIA aendelee na kukusanya kura za sasa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...