Nane nane ina maana Korosho ndio basi tena?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,546
Vipi wakulima wenzangu pande mlizopo?tupeane update ya malipo ya zao letu la korosho msimu uliopita.
Hapa nipo natazama Tbc maadhimisho ya 8/8 Simiyu nategea kusikiliza waziri wetu husika atatuelekeza lipi nini hatma.
 
Palipoharibika hapawezi kuzungumziwa...

Pangekua pamefanikiwa ungesikia kale kamsemo maarufu... "Hii yote ni sababu ya juhudu za seriakli ya awamu fulani"



Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…