N ngonyango JF-Expert Member Joined Aug 7, 2017 Posts 1,887 Reaction score 1,623 May 14, 2019 #1 Kwenye wimbo wako wa Ninogeshe kuna maneno yanayosema 'Ukizikwa nizikwe na wewe ' ..'Nikizikwa uzikwe na mie'..mbona hatukuona utekelezaji wake wakati wa tukio la karibuni? Au ulikuwa unatania?
Kwenye wimbo wako wa Ninogeshe kuna maneno yanayosema 'Ukizikwa nizikwe na wewe ' ..'Nikizikwa uzikwe na mie'..mbona hatukuona utekelezaji wake wakati wa tukio la karibuni? Au ulikuwa unatania?
C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 3,302 Reaction score 5,432 May 14, 2019 #2 Kwani maadiko yanasemaje kuhusu hili jambo.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,337 Reaction score 7,334 May 14, 2019 #3 Unajua maana halisi ya neno msanii?
N ngonyango JF-Expert Member Joined Aug 7, 2017 Posts 1,887 Reaction score 1,623 May 14, 2019 Thread starter #4 Rhz4567 said: Unajua maana halisi ya neno msanii? Click to expand... Ni kioo cha jamii....hivyo ilibidi awe mfano wa kuigwa
Rhz4567 said: Unajua maana halisi ya neno msanii? Click to expand... Ni kioo cha jamii....hivyo ilibidi awe mfano wa kuigwa