Wanawake wapo mstari wa mbele kudhalilishana wao kwa wao,Salam,
Moja kwa moja niende kwenye mada, kila mtu sasa anajua kuhusu kuvuja kwa video ya faragha ya wasanii Nandy na Billnas. Kwenye ile video Nandy mwenyewe, mhanga mkuu, anaonekana ndo cameraman or camerawoman if you will.
Sijui nani kavujisha ila kuna kitu kimoja nimeshuhudia katika utoaji maoni ya hii video nacho ni- Women Shaming. For some reason, msanii Nandy anapondwa, anatukanwa, memes za kumdhalilisha zinatumwa kushoto na kulia, huku Billnas akionekana kama mjanja au hausiki kabisa. Nimesikitika zaidi kuona hata wanawake wenzake hawapo upande wake zaidi ya kufurahia madhila yaliyomkuta mwanamke mwenzao
Kwa upande wa Billnas, yeye kinachosemwa ni ghetto lake kwamba ni chafu ilhali hakuna mwenye uhakika kile ni chumba cha nani, labda ni cha Nandy mwenyewe au sio cha yeyote kati yao. Somehow Billnas is given a pass to go under the radar.
Kwa mwendo huu udhalilishaji wa wanawake hauwezi kuisha hasa kama wanawake wenyewe ndo wapo mstari wa mbele kufurahia madhila ya wenzao na mfumo dume hauwezi kukoma katu.
Nimefarijika kidogo kumsikia Katibu wa BASATA akielezea bila kutetea au kuponda upande hadi pale watapokuwa na ushahidi wa kutosha na kawaongelea wasanii wote wawili kama wahanga/wahusika evenly.
Rai: wapenzi acheni kurekodi video muwapo faragha au kutumiana picha za utupu kwa sababu zozote zile. Huwezi jua zinaweza vuja hata kwa bahati mbaya, kuna kuibiwa simu, kupoteza simu, kudukuliwa but kuvuja ni kuvuja it doesn't matter zimevuja kwa njia gani. Mpenzi wako video za nini.. Pillow talk should be intimate between the two of you sio mambo ya kurekodiana.
So anapaswa kujitambua zaidi maana yy ni km pa kutupia dharauSiku zote mwanamke ni receiver,she was born to receive
Na hawajipendi piaWanawake huwa hawapendani daima kiongoz hvyo hicho ndo kinapelekea wanakosa nguvu
Kwakua na nandy ni mwanamke,na mwanamke mwili wake imehusiwa ustiriwe kwakua umejaa matamanio,ebu pima tu tembea na mkeo akiwa tumbo wazi nawe tumbo wazi nanip ataonekana kituko.
Mm sielewi kitu kwenye ile clip, ni nani hasa alierecod ile clip, bill nass au nandy, koz sim ya nandy inaonekana kabisa ikirecord kwa uhalisia MTU akiwa anajirecord au kuselfie simu kama simu haiwezi onekana , kitakachoonekana ni mwelekeo tu
Nandy yuko na heshima yake katika jamii ambaye ameitengeneza mwenyewe.Siamin kama kaibomoa bado nitaendelea kumwamini.Mapenzi ni swala la kawaida sana na kila mtu anafanya hakuna cha ajabu hapo..
Tatizo ni hako ka video.Ila sio kesi anaweza kurekebisha alipoharibu ingawa kashaingia doa la milele..
Angefanya Gigy, Shilole, amber ni kawaida tu
Kuna mazingira yanayopelekea nandy kuhukumiwa...! Kwanza,siku moja kabla,alipost picha ya mnato akimtakia heri ya kuzaliwa bilnas,picha hiyo nandy alionekana ameegemea kifua cha bilnas.. picha ile ikazua mjadala sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..!! Nandy alikanusha km ni mpenzi au aliwahi kuwa mpenzi wa bilnas.
Wakati watu wakiwa wanajadili hilo,ikavuja video ya aibu ikiwahusisha watu walewale waliokanusha. Baada ya kuvuja ile video,nandy ndo akakiri kutoka na bilnas lkn akadai ile video ni ya mwaka 2016. Hayo maelezo nayo yana walakini,kwa sababu kuna wimbo unaosikika ni wa mwaka 2017 mwishoni.
Nandy anastahili kupata kila kitu anachopata ktk hili sakata. Lkn la mwisho.."Ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi,lazima utavuna bangi".
mnnh ndugu wataumia ofcourse sasa wewe kama umempenda mtu na unaishi nae bila wasiwasi na unajua alishawahi kuwa na scandal utafikiria maisha yako na furaha yako,au utafikiria jinsi ndugu zako wanavyoumia???,mkuu labda hili ni zito lakini tunaishi kwenye jamii ambayo tuna tolerate each other's weaknesses,kuna ndugu wanajulikana mtaani,kuwa ndugu yake Fulani ana tabia ya udokozi,wizi,mvuta bangi bado tunaishi nao hivyo hivyo,and people do change,so its good to give them that chance.......................................watoto, by the time Nandy anao wake hili swala litakua limeshazoeleka kwenye jamii yetu,😀😀tutakua na watu kibao nude on the internet mpaka litakua sio sehemu ya kuchekana na kudharauliana...😀😛...and yes I can predict this happening as there is upward trend in Tanzania Internet users statistics and second tunaona jinsi macelebrity sex videos zinakua exposed jinsi wanavyojadiliwa na kila mtu mwenye computer,i think they get gratification from that/thrill. so watu wengi Zaidi wenye access na internet watataka kuexperience the same thing........yajayo hayafurahishi,😎😎
Wewe unajaribu kupigana na ukuta. Hali halisi ilivyo ni kuwa kwenye mambo ya mapenzi siku zote hasa Afrika faragha inapovuja mwanamke ndiye mwathirika. Ndiyo maana mwanamme kuzaa nje ya ndoa ni sifa lakini mwanamke ni umalaya. Huyo mwanamke ndiye inabidi ajilaumu mwenyewe.
Kwa mtu mwenye IQ ndogo amenielewa ila kwa wewe subiri utaelewa taratibu, maana inaonekana wazi hutaki kuelewa ila unataka ligi tu...Hivi kuna msanii wa mziki wa kike hapa Tz kawasasa hivi ambaye ana-trend kwenye media kumshinda Nandy....????
Labda uniambie alikuwa anatafuta Kiki ya kujilikana kuwa pamoja na yeye kuwa ni Mwamziki pia ni porn Star.....
Au labda sijui maana ya Kiki
kwani sisi katukosea nini mkuu amuombe msamaha bwana yakehahahaha
kwani ruge ndo mtanzania peke yake
ni kweli mwenye IQ ndogo...uuesahau kuwa.binadamu huwa tinapimwa uelewa kwa IQ kubwa...Kwa mtu mwenye IQ ndogo amenielewa
Usinilishe maneno weye! Nitake ligi na wewe ambaye hujui hata unachokiandika..!?? Kuwa na adabu..ila kwa wewe subiri utaelewa taratibu, maana inaonekana wazi hutaki kuelewa ila unataka ligi tu...
Sasa kama unayoandika yanaeleweka na wenye IQ ndogo....then let me rest my caseKwa lugha nyingine naweza kukuita MPUMBAVU
Maana hutaki kuelewa
Sawa kabisa......ni aibu vizazi na vizaziNaifananisha ile video kama ugonjwa wa ukimwi haitakaa imbanduke
OKAYni kweli mwenye IQ ndogo...uuesahau kuwa.binadamu huwa tinapimwa uelewa kwa IQ kubwa...
Usinilishe maneno weye! Nitake ligi na wewe ambaye hujui hata unachokiandika..!?? Kuwa na adabu..
Sasa kama unayoandika yanaeleweka na wenye IQ ndogo....then let me rest my case
Vipi kama mwenyewe ameipenda?Naifananisha ile video kama ugonjwa wa ukimwi haitakaa imbanduke