Nando Mwakilishi wa Tanzania BBA 2013

Nando Mwakilishi wa Tanzania BBA 2013

mmh mkuu bodea kawahi kushiriki bba!!??
Huyu jamaa si alishiriki tusker project fame.

asante kwa kunisahiihisha. Lakini tz naona mtindo ndio umekuwa hivyo sijui ni kwa aljili ya kizungu!
 
asante kwa kunisahiihisha. Lakini tz naona mtindo ndio umekuwa hivyo sijui ni kwa aljili ya kizungu!

Inabidi hizi auditions pia ziwe open..tujue wanatumia vigezo gani.
 
black niggas hajawai wakilisha tz bba full ma half cast daily.
 
Back
Top Bottom