Nancy Pelosi vs Job Ndugai

Kwa hivyo demokrasia ya kupeana mikono ndiyo ushahidi kuwa hii yetu ni bora kuliko ya Marekani?
 
Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Eti huyu mtanzania anasema Bunge la marekani limeishiwa agenda,mnajifanya wendawazimu?Unadhani bunge la marekani linaweza kupoteza muda kuweka azimi la kumpongeza Trump?Ni hapa bongo kwenye bunge la utalii,teh teh!
 
Pumbafu usio na aibu ww
 
Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Kuhamasisha kuuwawa kwa wenzao ni moja ya mijadala hiyo?
 
Eti wanakaa kikao mbele ya TV kumjadili zitto mwana wa kabwe
 
Alichofanyiwa Pelosi na Trump kingekuwa kimefanywa Tanzania, mathalan Waziri mkuu achilia mbali rais akamfanyia KUB, kesho tungeamka na tweets kutoa Embasy of USA na EU kulaan kitendo hicho. Lakin kwa kuwa wamefanya wao, wacha tuwashangilie kwa sababu kuku haharishi Ila bata.
 
Eti huyu mtanzania anasema Bunge la marekani limeishiwa agenda,mnajifanya wendawazimu?Unadhani bunge la marekani linaweza kupoteza muda kuweka azimi la kumpongeza Trump?Ni hapa bongo kwenye bunge la utalii,teh teh!
Bunge la utalii kweli kweli, kama Wabunge kama wewe mnaenda kule badala ya kujadili ajenda za kitaifa Mnafanya kama kituo cha kutafutia Madili Mfano Zitt Kabw na TAL utakuta wanaibua hoja za kusadikika ili baadae wayamalize. Kama huamini wewe fuatilia hoja moja iliyoisha iliyoibuliwa na hao viumbe.
 
Unakumbuka Zitto alisimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge baada ya kuibua sakata la mirahaba kwenye madini?TAL alikuwa msaada sana kwa Anna Makinda,ilifika mahali Makinda anamuomba Lissu ugafanuzi juu ya masuala mbalimbali ya kisheria!
Wabunge wa CCM 95% ni mizigo!Hawana msaada wowote zaidi ya kula posho za bure!
 
Barbarosa hao watu sio rahisi kuelewa utofauti huo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…